@blessing_fantastic: Kwa jinsi uongozi wa Yanga unavyoumia kutoa fedha nyingi ili kukodi uwanja kwa ajili ya mechi zao za nyumbani, Wananchi uwanja unaenda kujengwa jangwani hivi karibuni, ni suala la muda tuu.. 😁 💚💛🖤 #sports #yangasc #viralvideo

Blessing Fantastic
Blessing Fantastic
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 15:10:43 GMT
238580
20983
243
327

Music

Download

Comments

mgogoc_99
MGOGO`CH :
Brother serikali imejenga viwanja vingi kwa ajili ya AFCON2027 baada ya hapo unategemea vitaenda wapi kama sio kutumiwa na Yanga na simba so serikali inatumia akili ya mwaka wa mbele haiwezi ruhusu wajenge uwanja watazungushwa sanaa it so sad🥺🥺
2026-11-18 18:28:43
87
ayoubjohn577
Senior jr*💪 :
Huyu jamaa wakimpa urais wa TFF tunafika mbali sana baada ya miaka 7 yanga ni another chelsea
2026-11-18 20:11:38
38
keza8552
keza :
kk mm ni mwanasimba but I have something
2026-11-20 11:18:12
0
saint_3434
St. Orion :
umeongea fact kabsa
2026-11-18 16:38:51
20
abuu54620
abuu5462 :
safi Sana eng hers said kwa akili kubwa mungu akupe kila la kheri amiiiiiin💛🧡💛💚🧡💛💚💛🧡💚💚💛🧡💚💛🧡
2026-11-18 15:56:59
99
jafaryismailymwan
jafary ismaily mwangu :
Allah alifanyie wepes jambo lianze
2026-11-18 16:37:19
30
mdoecharles
mdoecharles :
hamna uwanja apo
2026-11-18 16:05:17
14
syllas.jr
SYLLAS Jr. :
maneno yanakuwa mengi
2026-11-18 15:56:44
17
daprotz
Dapro1 :
Wangemcheki yule jamaa wa room of jeans si alisema anakodisha kwa milioni moja
2026-11-18 21:57:10
39
tumaini.marko
Tumaini Marko :
hv mwana yanga hi ya 50%50 unaonaje mbn m sijaipenda
2026-11-18 17:23:45
6
juliusludete
juliusludete :
Uwanja utakuwa na vitega uchumi vingi km hoteli, malks, kumbi n.k
2026-11-18 16:29:35
11
mazageenzage
Mhafidhina.@ :
achen siasa kwenye uwanja
2026-11-18 15:53:46
5
hafidhimbakwi
hafidhimbakwi :
kama karume kajenga jengo bira 50%50 arafu uje ulinganishe na mtu 50%50 usema anataka kuisaidia timu au kufanya biashara na timu
2026-11-20 09:07:56
0
kachopy47
KP47 :
hapo tunakiongozi bora siyo bora kiongozi. mwakani tenah
2026-11-19 01:57:10
5
zakayonganilevanu
Zakayo Nganilevanu :
baba nakukubali sana ila kumuuza depu na okello ulizingua mno
2026-11-18 18:23:50
6
official_khaled001
Official_khaled :
kuna tofauti kubwa kati ya rais wa klabu na mwenyekiti kutokea kilwa
2026-11-18 23:05:16
5
mohamedsaeed.gula
Mohamedsaeed Gulam :
mo aanadai hela zake simba
2026-11-18 18:14:34
5
muhangilajunior01
muhangilajunior01 :
Akili kubwa sana hii[Victory]
2026-11-18 16:46:39
9
almasii75
Almasi :
hiyo kuweka alama angesema mo sasa😂😂😂😂
2026-11-18 16:31:24
9
ahmediddy115
Ahmed Iddy :
basi musijengeee
2026-11-19 21:27:04
0
user49395611314981
faruyanga :
please uwanja usiwekewe running track
2026-11-19 19:26:30
2
mossy2639
mossy :
umeongea kitu kikubwa sana kaka
2026-11-20 07:11:34
1
paul2days
paul2days :
Rais wa yanga acha kudanganya bahna 20M ya kulipia uwanja kila meche na nyinyi mnaingiza kiasi gani? Fanya mahesabu ya kawaida tu kiwanja kinaingiza mashabiki 6000x5000=30,000,000 hapa tumepiga viingilio vidogo tu nimeacha VIP Kuna faida kama 10M je utasema asara au faida???
2026-11-19 07:32:29
1
nasa.boy686
🇨🇩Tiger 🐯 🇨🇩 :
Nikwel kabisa
2026-11-19 06:13:03
2
emanuelmpili2
Eng.Emmanuel :
very fact
2026-11-19 04:09:52
4
To see more videos from user @blessing_fantastic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About