@bbcnewsswahili: Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin nchini China. Viongozi hao watatu walikutana kabla ya kuanza kwa chakula cha jioni mjini Shenzhen. Video iliyochapishwa na waandishi wa habari wa Kremlin inaonyesha Trump akiwa pamoja na mwenyeji wake, Rais wa China Xi Jinping na mkewe, wakati Putin alipowasili. #bbcswahili #foryoupage❤️ #fyp #viral #PutinXiPutin #china

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 15:31:18 GMT
76277
5522
126
174

Music

Download

Comments

pedeshee28
Pedeshee 😄😄 :
Trampo ana nguvu iko wapi hadi leo kashindwa kummiliki iran 😂
2026-11-18 15:46:37
21
ibraton
Ibz :
putin ana swag akitembea
2026-11-18 16:15:37
5
mikemicharazo
Mike micharazo :
kimwili Trump ni mkubwa.
2026-11-18 16:47:50
6
chris.oxgn
Chris Oxgn :
scramble and partions of world
2026-11-19 12:46:05
0
user6522301127581
mwinyi msanga h :
westing time
2026-11-19 14:05:01
0
shadybaby150
shadybaby150 :
The Big Boys Meeting🔥
2026-11-19 07:46:56
0
dallys1606
DALLYPAPY🌎🇹🇿 :
Amin kwamba hapo hkun Rais halisi hata mmoja
2026-11-18 16:25:20
1
zuryaurastore
Zury🌸 :
Maoni nasubir kutoka kwako na ww unasubir kwang yatoke wap
2026-11-19 12:36:32
1
tangomike0
uwod swao :
mmmmh rais mwenye nguvu ni Putin pekee
2026-11-18 16:34:55
2
yb_alheart
alheart :
Putin ni mwanyamwez 🔥😁
2026-11-19 09:25:59
1
johnson_tz
Arajick tz :
wetu alikuwa uganda mbona haujamtangaza🤣🤣
2026-11-18 20:12:47
1
aziz.mkumbo
azizmkumbo :
hapo mi simuamini trump
2026-11-18 20:21:45
0
raheribeauty
cute Rachel 🇹🇿⛪⛪⛪🇹🇷🇹🇷 :
Hawa ndo watu wakisema wagawane dunia wanaweza😂😂
2026-11-19 09:14:45
1
yasinlambada1517
yasinlambada1517 :
Wawili tu ndo wenye nguvu china na russia
2026-11-18 17:42:05
0
_hdhdk_
Eric +255 :
TRUMP anafuraisha sana kama sio rais wako😂😂
2026-11-18 20:46:01
2
g19massebu
Mr. GeorgeFM :
Dunia imekutana kutujadili wakaazi wa kata na tarafa za Duniani
2026-11-18 19:21:17
0
user3415904086017
user3415904086017 :
Sisi tuendelee kucoment wenzetu wana cheza na akili zetu.
2026-11-19 07:02:04
1
mjombaphonerepair
MJOMBA PHONE REPAIR :
wanataka kugawana dunia au sio
2026-11-18 19:12:35
2
user8763323540435
user8763323540435 :
hapo kila mtu anataka aachiwe jimbo Lake, China aachiwe Taiwan, USA aachiwe Middle East chini ya israel , Urusi aachiwe Ukraine
2026-11-18 17:48:38
2
eminhatem2
~Dhir_Hatem~✌️ :
mbona noma🔥🔥🔥
2026-11-18 15:37:22
2
user3237117338024
user3237117338024 :
kwani wameacha Ruto
2026-11-18 16:59:07
2
madamcscollection
madamcscollection :
hapo CIA na KGB wapo rada 😂😂
2026-11-19 05:51:07
1
murtazavisram
Murtaza Visram :
trump kabakia maneno tu
2026-11-18 18:47:07
1
theorthodox.2395
Barry23 :
then kuna viongozi wa europe wamekaa kindezi mpaka usa ikawaamulie mambo[Tears of joy].
2026-11-18 16:04:44
1
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
madikteta ya duniani haya nguvu yoyote ila watu kutaka kufanya ujinga
2026-11-18 15:36:57
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About