@millardayo_: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, CP Salum Rashid Hamduni amewahakikishia Wananchi kuwa meli ya MV Mwanza iko salama baada ya kupata ajali ndogo leo, Novemba 18, 2026, majira ya saa 4 asubuhi, wakati wa majaribio yaliyokuwa yakifanyika ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuanza safari zake rasmi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, CP Hamduni amesema meli hiyo ilikuwa imeegeshwa kwa muda mrefu, huku Serikali kupitia Shirika la Meli Tanzania (TASHICO) ikiendelea na maandalizi ya kuanza kutoa huduma kwa mujibu wa ratiba zilizopangwa. Amesema wakati wa majaribio hayo ndipo hitilafu iliyosababisha ajali ilipojitokeza, lakini uchunguzi wa awali uliofanywa na Wataalamu umeonesha kuwa meli hiyo iko salama. CP Hamduni amewataka Wananchi kuendelea kuwa watulivu na kuepuka kusambaza taarifa zisizothibitishwa kuhusu tukio hilo, akisisitiza kuwa taarifa rasmi za Serikali zitatolewa kupitia mamlaka husika. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 15:35:17 GMT
Music
Download
Comments
Judith Paschal :
Majaribio Kumbe !! Sasa mawe yetu ya kupigia picha inakuwaje
2026-11-18 16:01:59
73
Mr. jerusalem :
meli mpya moshi wazamani
2026-11-18 16:25:36
37
babygirl🥰 :
Majalibio na watu wapo ndan jmniii[Tears of joy]
2026-11-18 16:15:58
19
Miner :
Sasa sisi tutaenda wap kupiga picha mawe wameyangonga 😂
2026-11-18 15:48:10
13
Eng Mwingira 👷 :
tayar wapigaji washandaa pakupigia bongo hapana kwakwel
2026-11-18 16:27:58
9
Lolo Jr :
meli inatoa Moshi kama ni ya enzi za nyerere
2026-11-18 17:37:58
7
wazumikacho :
tunasubiri matengenezo bilion 400
2026-11-18 16:01:31
7
Benjamin Chokela :
Kama ni majaribio sasa mlipakia watu wa nini! Uongo tu
2026-11-18 16:54:06
6
Alphonce :
kumbe ilikua majalibio nahodha yuko sawa alitaka kujua kama iko imara sema iko imara kweli nimethibisha
2026-11-18 16:31:54
5
Cute Esterino 🥰😘 :
ilikuwa inatoka mwanza inaenda sehem gani
2026-11-18 16:56:12
3
Diplomat :
au mmefanya maksudi ilijopo la wataalam litengewe bilioni moja point89
2026-11-18 20:13:59
2
🌸miss marry🦋 :
jiwe letu kwanza linaendleaje
2026-11-18 16:24:32
10
Aizen :
it's over
2026-11-18 19:56:37
0
A :
jamani ndo kujalibu na roho za watu🤣🤣
2026-11-18 19:33:53
1
user8758321179811 :
Tusaidie tuambie sababu ya Ajari,
2026-11-18 17:13:21
0
benny :
meli imetokaje kote kule inako park mv Victoria ikatize njia ya feri za sengerema ije mpka igonge mawe ya Bismarck hapana Kuna jambo haliko sawa bhana hizi ni hujuma kabisa SGR huku mwanza mradi umeshakufa kabisa meli nayo mnaigongesha makusudi
2026-11-18 17:28:46
0
dulla_nation :
inajaribiwa kugonga mawe 😳
2026-11-18 15:48:06
5
JITU LA IMANI🙏 :
Mnacheza na Kodi zetu au sio??
2026-11-18 17:50:32
1
Mr. GeorgeFM :
Kuna jambo lipo hapa la makusudi, kuna hujuma,aliyekua anaendesha ni mtu wa kutoka wapi,wa kabila gani? ana uhusiano gani na wamiliki wa mabasi ya kwenda Bukoba? Ahojiwe. Kuna jambo hapa haliko sawa, hii Africa tutachelewa sana. kuna maswali ya kujiuliza kwanza SGR kwa Kanda ya ziwa ni kama imesimama lakini dalili za wazi kama angekuwepo JPM hii SGR kwa sasa ingekua inafika Mwanza, Mama awe makini na watendaji wake asiwe mpole sana hii nchi watu wana shida sana juu ya miradi inayolenga wananchi, meli inaenda kugonga nembo ya mkoa? huko kote itoke Bandarini pale pembeni au Igogo kule kwenye matengenezo ije Bismark? Mmmmmh
2026-11-18 17:14:25
0
E L L Y :
Mmeharibu location 😂😂
2026-11-18 19:38:11
1
BM 0003 :
nd leo nmejua jina la mkuu wwa mkoa wangu☺️
2026-11-18 17:33:07
2
Peter op :
majaribio na watu wamo
2026-11-18 17:45:05
1
Mr CHUMA. :
Sipandi hiyo melii Mimi hata munipe millioni🤣🤣
2026-11-18 18:29:27
0
Miss P🩷💫 :
NATAFUTA marafiki
2026-11-18 17:27:05
1
🌴JayMORE🌴💱🎮 :
mnge dondosha jiwe letu sasa
2026-11-18 17:39:27
4
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.