@yobo_rain_farm: 🏗️ MRADI MWINGINE HUU – MOROGORO, UBENA! Leo tunaelekea kukamilisha kazi ya ujenzi wa banda la nguruwe kwa mteja wetu Ubena, Morogoro. 💚 Tunajenga mabanda bora yanayozingatia: ✅ Usafi na urahisi wa kuhudumia nguruwe. ✅ Uingizaji hewa wa kutosha (Ventilation). ✅ Mpangilio mzuri wa maeneo ya kulishia na kunyweshea. ✅ Mfumo mzuri wa kuondoa uchafu na maji. ✅ Mazingira yanayosaidia ukuaji na ustawi wa nguruwe. Unahitaji kujenga banda la nguruwe au kuboresha banda lako lililopo? Tuna suluhisho kulingana na eneo lako na bajeti yako. 📍 Tunahudumia Tanzania nzima na nje ya nchi. 📲 Wasiliana nasi: +255625406806 +255714060010 MABANDA BORA YA MIFUGO 🏗️🐄🐖 Tunajenga miundombinu bora kwa ajili ya ufugaji wenye tija. #MabandaBoraYaMifugo #UfugajiWaNguruwe #YoboRainFarm