Mweshimiwa pombe serekali imeruhusu na kutoa Vibali kwa makampuni kuingia nchini na kufanya production ya sumu wala Sio poa cha kufanya fungieni hayo makampuni
2026-11-19 08:15:41
0
Cool Ruler :
Baba FUNGENI VIWANDA VYA POMBE jamani ndio tatizo
2026-11-18 23:45:28
1
Xymera :
mnavyosema tukalime wapi
2026-11-19 11:06:01
0
Erick :
kwann siku nisipoenda kazin nkiwa off siruhusiwe kufanya mamb yangu
2026-11-18 21:01:26
1
𝒥𝒾𝓃𝓀𝑒𝓃𝓈🩺❤️🩹 :
Mkuu anatakiwa aelewe sisi ni wawekezaji😅
2026-11-18 22:57:39
3
#Bobu :
Kwan lazima mtu afanye kazi mchana
2026-11-18 20:00:39
3
Judithbilionnaire :
Jamani swala la unywaji wa pombe kwa vijana linatakiwa lichululiwe kwa uzito wake. nguvu kazi ya kiume kuanzia nyumbani hadi mashambani imeharibika sana. hakika tutarudi kutawaliwa na wazungu tupigwe mijeledi Tena na wajerumani
Maneno pekee hayatishi muheshimiwa. zinatakiwa hatua Kali na Sheria Kali zisimamiwe kuanzia kwenye jamii na serikali isiaidie kusimamia utekelezaji ili vijana wafanye kazi
Wazazi wa kiume wameacha malezi ya watoto pesa nyingi zinapelekwa kwenye pombe ambayo baadaye Ina madhara kimwili, kifamilia, kiakili na kiroho
Shule hazina watoto kabisa maana uzazi umeathirika sanaaa hata makanisani hakuna waumini. Mashamba na Biashara zilizoanzishwa na wazazi zimedorora kwa kuwa hakuna jipya vijana walilofanya kuendeleza.
pombeeee! pombeee! Pombe kwa Watanzania vijana ni tatizo. zinatakiwa hatua Kali kuhusu unywaji uliokithiri. vijana Hawaii jamani!! 😭😭😭😭😭😭
2026-11-19 16:26:34
1
mduma :
hiyo yenyewe kz
2026-11-19 07:23:27
1
MR TEMBA 😎 :
mkuu hongera sanaaa
2026-11-24 05:23:13
0
donbmarcus :
kaz ipi iyo mnaoijua wanayo ajir amn wafany kaz gn
2026-11-18 18:31:42
0
Gilbert Fadhili :
hongera mh rc.
2026-11-18 19:30:51
1
Chaga money :
moshi hatuwez kuacha pombe mzee ata iweje
2026-11-22 15:26:34
0
Arnold Mushi :
Hongera sana mkuu
2026-11-19 19:00:33
0
PRAY 🦅 :
😁😁hapo ni wapi
2026-11-19 08:57:42
0
SAS HUNTER :
atup kaz
2026-11-19 10:05:01
0
J vs G Emanuel :
nakama Sina kaziii
2026-11-20 16:29:13
0
Steven Mwakilema :
Iyo safi sana
2026-11-19 01:38:09
0
Muro Exaud :
ajira zipo wap mkuuu
2026-11-18 20:04:17
0
samata kazikazuser478215812653 :
hahahahaha duu itawezekana kweli
2026-11-27 21:07:21
0
Shabiby Moshi :
asante muheshimiwa mkuu wa mkoa tunaomba ingilia kati vijana wanapotea tuwekee na doria mchana
2026-11-19 03:23:41
1
Kicheche Empire :
SassA mukuuu tupe ajira basi mukuuuu
2026-11-18 21:06:57
0
Ally Salehemsuya :
waje na uku Kona baa jamani
2026-11-18 21:24:01
0
Niko Mgata :
mmmh
2026-11-18 18:34:18
0
To see more videos from user @lisakeli.lawrence, please go to the Tikwm
homepage.