Kwanza upinde ni Ishara ya agano la MUNGU (mwanzo 9:12-16 ) pili ishara ya utukufu wa MUNGU( Ezekiel 1:28 ) tatu ishara ya uwezo wa MUNGU (ufunuo 4:3 )nyie wote mnaouliza kuhusu ishara ya upinde mkasome bible vizuri kabla ya kuleta mawazo ya kidunia
2026-11-19 10:13:28
9
olimo :
Nimepamic sana Safina jmn natamanhata nirud kuishi Arusha
2026-11-20 06:12:17
1
matildahussein :
Mungu wa safina ni Mungu wa kweli na nimemuona kweny maisha yangu
2026-11-18 17:46:23
27
it's Gee🦋🥰 :
mungu aitunze madhabahu hii jmn inajibu
2026-11-18 20:37:55
19
. :
mnaosema upinde upinde ni agano ambalo Mungu aliweka kwamba hataangamiza dunia tena kwa maji hao wengine wameiga msijifanye mnajua Kila kitu
2026-11-19 08:10:08
11
burah :
rainbow sijui nani anajua maana yake🥺
2026-11-19 01:27:01
15
Eng. Abdullah :
dini ya upinde[Tears of joy]
2026-11-19 18:11:43
0
Emanuel Cheina :
Tatizo sio huo upinde. Maana upinde wa mvua ni alama ya agano kati ya MUNGU na Nuhu. (kuwa Hatoigharikisha tena Dunia kwa maji). Ila shida inakuja kwamba, WAMETOA WAPI SANDUKU LA AGANO?
2026-11-19 05:27:20
2
Elia Minja :
hili ni kanisa gani 🤔🤔🤔
2026-11-19 06:41:41
6
materaz :
what does rainbow signs means inside the church 😳😳😳
2026-11-18 20:33:15
4
mc muro :
safina radio right
2026-11-18 18:39:03
5
Africa boytz :
Liko wap hili kanisa
2026-11-19 13:29:39
0
madumba :
Ndomana saivi hata kanisani siendi mimi
2026-11-19 05:09:12
1
Miss M :
Stay hapo hapo my Dear
2026-11-18 17:37:14
5
Prof hillaryassenga✅ :
sasa watu wanatoa maoni kuhusu upinde na wengine wanatetea kutokana na maandiko , swali langu hayo maandiko yaliongolewa kwa wakati gani na chanzo ni nini ,je linastahili kutumika hadi sasa????
2026-11-19 17:50:14
0
glory love :
Safina hapo nakumbuka 2016,17
2026-11-19 10:33:20
1
madam tinna :
upinde sio ishara mbaya hilo ni again la Mungu kwa wanadam kua hataangamiza dunia tena kwa maji so, adui anatumia vitu vya kimungu ili kuchukua nafai ya utawala wa ulimwwngu ko chagua mwenyewe kwa Mungu au kwa shetni ila upinde nialama za kiMungu ansante
2026-11-19 18:54:37
0
matildahussein :
Kuna siku nilikuwa napitia nyakati ngumu sioni wa kumueleza nimechoka🥺 nilienda safina hapo madhabahuni nilipiga magoti nilililia sana kwa uchungu haikupita week nikapata kazi😭 hii madhabahu ni ya kweliii wala huwekewi mkono ni ww na iman yako. Nimeanza kwenda Hapo Nikiwa darasa la nne Mpk leo.
2026-11-19 13:44:32
4
malecka,,malecka### :
mungu yupi ,,,ni huyu huyu au
2026-11-19 13:16:41
0
edilove :
Safina idumu milele
2026-11-19 20:00:45
1
Madame jay07 :
Huo upinde vipi mwenetu
2026-11-19 15:32:54
2
Black Eagle :
ufazili wa mapande na upinde
2026-11-19 10:29:20
1
baba anna :
upinde wa nn ten
2026-11-19 17:31:34
0
Official Ben...!! :
safina 🥰 barikiwa sana
2026-11-18 20:46:52
3
To see more videos from user @phinadaddysdaugther, please go to the Tikwm
homepage.