@evamrema2: Nina jumbe nyingi inbox za wamama wanasema, walibadilika baada ya mume kukosea. Naelewa. Hivyo naomba Sana jitahidi USAMEHE ili uponye moyo wako. Usisahau anawajibika kwa matendo yako. NAKUTHAMINI; kimbizana na Offa ya vitabu kuna mahali utavuka. #evamrema #trendingnow #viralreels