@mangekimambi1: #Repost @eastafricatv —— #KURASA Hakika kuisikia sauti ya Angel kipindi hiki ni zaidi maumivu kwa wanafamilia na wale walio na moyo safi Malaika,.. kama lilivyo jina lake ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya vurugu za wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka 2025 nchini Tanzania Hivi karibuni binti huyu alionekana kwenye vyombo vya habari akieleza masahibu yake mwaka mmoja tangu apigwe risasi, simulizi iliyowagusa walio wema na kujitokeza Kugharamia matibabu yake #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Huyu jamaa alkuwa mbele ya muda🥺🥺na alijua tu huyu bint hatopona😢😭😭💔
2026-11-19 11:24:07
95
DEZY mpambanaj :
kwan mfadhir alie mpelek hospitar ni nan?
2026-11-19 07:03:18
22
💈Brown cutting💈 :
me najiuliza kitu kimoja kama leo imesomwa hukumu ya LISU baada ya siku moja inaibuka connection ya mwanafunzi na ikatrendi kias kwamba paka hukumu ya LISU ikazima kabisa paka leo duuh mbinu ni nyingi sana sijasema Kwa ubaya Mimi nimejisemea tuu
2026-11-22 21:19:53
1
abbygirl :
daaa ameniuma huyu mtoto jamani,mungu marehemu..[Teary eyed]
2026-11-19 07:35:04
27
Charles Walter :
kitu ambacho kinatufanya watz tusiweze kujitetea ni haya mambo ya kusema "Mungu yupo atatupigania" Asee wakoloni kutuachia hizi dini wametuweza asee. zinatufanya wajinga kinoma
2026-11-19 08:07:01
18
Nihan Kemal :
siwezi ongea sana maana tajikuta niko sehemu mbaya daaa inauma sana
2026-11-19 02:22:08
12
sophie :
dah polen san wanafamilia na watanzania kwa ujumla😭😭
IPO siku MUNGU ataikumbuka Tanzania km alivyoikumbuka Israel kutoka misr haijalishi ni miaka mingapi
2026-11-19 04:27:14
7
Mon Amour ❤ :
Nataka kuongeza kitu kimoja: kusubiri miezi tisa ya ujauzito, kujifungua kwa uchungu, kisha kulea mtoto miaka miwili bila kazi wala maisha yangu kusimama. Kumkuza binti yangu hadi awe mkubwa na mzuri, halafu aje kuuliwaw bila sababu ya msingi ya kumuacha. Hapana, Mungu ninayemjua hawezi kuwa hivyo. Chozi la mama yake litalipwa. Maumivu ninayoyasikia moyoni ni makubwa sana. Chozi la baba linauma, lakini chozi la mama aliyebeba, kujifungua na kulea mtoto kwa upendo lina uchungu ambao hauwezi kuelezeka.
2026-11-21 04:31:19
1
Ngobya :
Siku Itafika. 😫😫😭😭
2026-11-20 15:47:09
1
Abigael Joseph :
ipo siku mungu ataingilia kati tanzania poleni sana familia mungu awatie nguvu
2026-11-18 21:32:15
3
afrique_girl :
ndo imeandikwa hivyo pole sn mdg wng Allah atalipa kwa Kila kitu
2026-11-20 19:31:33
1
gnana :
ila uyuu Munguu yupooo nyiee siku sio nyingi yatajibiwaa😩😩🙌Mungu yupoooo
2026-11-19 20:14:19
1
Jadmalovie@7200#🇷🇼 :
aliyempeleka hospitali ndio huyohuyo
2026-11-19 20:44:30
1
@gallant..# :
na ana smile lkn anaumia dah
2026-11-19 13:18:00
1
Balo Kiduku😎 :
Dah inauma snaaaaa mbn awana ht uruma hawa binadamu 😭😭😭😭inauma snaaa ujue
2026-11-19 00:30:30
0
Stella Komba :
[Pray]Tunashukuru kwa yote nenda mtoto mzuri hakuna atakayebaki milele[Teary eyed]
2026-11-19 03:59:49
9
Sha :
Kuna mambo haya 2
2026-11-19 07:32:42
1
swide❤️ :
Nakumbuka nilimchangia ili tu apone jmn
2026-11-19 19:22:17
1
Ray💋💋 :
Ni kilio cha watanzania nimeumia sana😭😭
2026-11-19 12:08:33
1
Kansim bachana :
hii kityu inaumiza kwel kwel
2026-11-20 08:34:40
1
Tyson_369 :
NDOTO ZA UDAKTARI NIMEKATISHWA NA DAKTALI
2026-11-19 20:37:41
1
user13713972244 :
[Crying][Crying][Crying][Crying]umejua kumuumiza nafasi yangu enjo kujutia baada ya yote yalikutokea huku ukibaki na maumivu mungu akusamehee yote kipenz Malika zake wakuongoze hata ahadi Yake itakapotimia hakuna atakayebaki milele
2026-11-19 07:06:42
1
To see more videos from user @mangekimambi1, please go to the Tikwm
homepage.