@cathy072: #cattekisima #foryou

Cattekisima
Cattekisima
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 17:32:58 GMT
56807
3644
356
478

Music

Download

Comments

slimpookie3
P. e.t.i.t.e 🍯 :
Izo n kwenu millenium sio sis Genz🫴🏼😂💔
2026-11-19 10:57:48
65
officialdath2
🦋tee😘 :
Kila mtu amlee mualifu wake anavojua tusioangianeee
2026-11-19 06:43:19
214
saintfurniture2
Saint luxury furniture 🛌🪑 :
heeeè hii mpyaa😂😂😂
2026-11-19 21:09:09
0
niniy.mommianna
💎NINIY MOMMIANNA💎 :
Samahani mimi ntaishikaaa😂🤣😂
2026-11-19 05:06:46
32
user1450658277041
Ommy Ramadan :
kwaeshimaaa [Pray][Pray][Pray]
2026-11-19 19:38:21
0
mrsabby55
Tiffah wa أبوبكر 😊✨ :
Mume wangu huyu huyu ambae mm ndio namvalisha na saingine namvua mwenyewe ndio unanikataza nisiishike tena kichogo 😳😂😂😂😂😂🥺
2026-11-19 05:27:34
50
renehmasanja5
#Reneh❤️👣 :
adi sisi GEN Z au
2026-11-19 16:17:48
5
cathyrous255
Thyndiswa ❤️ :
mimi ninae wahi chenji zilizobaki huna kitu utanambia
2026-11-19 09:07:16
13
deestore54
Dee🦋 :
hadi sisi wakurya?
2026-11-19 17:55:44
3
shuuoscar
shuuu mwanja :
kwishaaa mimii 😅😅😅😅
2026-11-19 13:46:37
0
beatricepatric
beatrice❤️💦 :
Mi akivua tu naanza kazi yangu
2026-11-19 06:50:09
15
cher5009
Cherry🍒🍒 :
mmmmmmh
2026-11-19 20:27:08
0
allykinguji
Kinguji MR😎 :
l love ur scare🥰
2026-11-19 12:27:13
0
dreamyluna31
🌸dreamyluna🌸 :
tusipangiane😂😂Bana mume wako sio mume wangu ndoa yako sio ndoa yangu
2026-11-19 07:38:32
9
naanyun
Alma🍄‍🟫 :
Adi sisi watu wa arusha
2026-11-19 17:17:28
1
neema.jsmaa0
Jsmaa🥰 :
sheria namba ngapi kifungu cha ngapi?
2026-11-19 17:12:12
0
mem__052
MEM :
Tusipangiane
2026-11-19 14:14:04
4
choi8711
choi :
Naishika nikikuta chochote kitu napita nacho
2026-11-19 17:06:12
1
mrs.abel96
Mrs abel💞🥰 :
Ndio kichogo 😂😂😂
2026-11-19 11:35:10
0
sheriebella1
shérie Bella :
Mimi niliingiza mkono mfukoni nikapigwa shoti na teaser hakuizima, nimekoma!!!
2026-11-19 09:20:13
0
estherchambula149
Esther Chambula :
sawa kiranja
2026-11-19 11:32:46
1
mom.ritha2
Mom Ritha :
Kwann kichogo mwenzngu🤣🤣
2026-11-19 17:41:24
1
hanabeen6
Hanna been jessy :
kwa nn mbona m nashikaga tu
2026-11-19 17:02:27
2
ashneesdoll
Ashneesdoll :
Uyu muhalifu wng sio muhalifu wako kichogo mwenzangu 😁😁
2026-11-19 10:32:51
3
estherwambura193
hadassah☺️ :
mna kazi jamani wanawake wenzangu🤣🤣🤣sheria nyingi hata wanaume wanashangaa na huwa wanatucheka sana
2026-11-19 17:53:00
2
To see more videos from user @cathy072, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About