@surveyor_mligo_simon: Financial Analysis ni Tathmini ya Kifedha Ambapo ni Muhimu sana Mnunuzi wa Kiwanja chenye hatimiliki inabidi afanye kabla ya kufanya maamuzi ya kununua. Mchakato wa hatimiliki Una gharama ambazo kama Mnunuzi hataweza Kuzijua mwanzo anaweza kupata changamoto ya kifedha wakati wa kuanza au kufanya Uhamisho wa Milki hiyo. Kesho tutakuja kuona ni gharama kiasi gani ambazo Mnunuzi wa kiwanja chenye hatimiliki anabidi azifanyie tathmini. Salia SMS. Mimi Naitwa SMS Mtaalamu & Mpima Ardhi UDSM Geomatics Engineer & Land Surveyor Naomba nipigie moja kwa moja 0753846754 NB. DM na MSG za kawaida Nina changamoto za kuchelewa Kuziona na kujibu , Kwaio naomba Mnipigie moja kwa moja wana SMS. Na Mnisamehe kwa Usumbufu 🙏🏾 #elimuyaardhi #mtaalamuwaardhi #hatimiliki #gharamazatransfer #daressalaam