@mswatie: Nani mwingine ameskia huko Kutoka selikalini😂😂😂🇹🇿#tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral🖤tiktok #bongofuntiktokers #qoutesoftheday #manenoyahekima #🤣?
aaaaaah afadhali hapa hata nikiulizwa mbn huoi nasema kuwa sina NIDA
2026-11-19 08:31:19
32
Tumaini🥰❤️ :
mpka apo ndoa Sina🙆🙆
2026-11-19 07:37:43
13
Mrs elisha🫀💯 :
ko halusi yangu wana cancel au[Embarrassed][Embarrassed]
2026-11-19 10:42:13
0
Abduly kidary :
tujue yeye ni mtanzania[Tears of joy][Tears of joy][Big LOL]
2026-11-19 13:11:44
0
king misitu :
nabebesha mtoto wa mtu mimba nawambia sina NIDA au nyie mnasemaje
2026-11-19 11:26:49
7
lucy🥰 :
nawaliokwisha kuolewa bila nida au kuoa inakuaje
2026-11-19 09:33:44
13
mabula mlimwa 🌽 :
ooooohhhhh😄😄😄😄 bas
2026-11-19 12:09:01
0
mery :
hii ni frusa kwa wasio kuwa na mupango wa kuoa aukuolewa, mtu anakuliza unaoa lini jibu ni moja tu sina nida😂😂😂
2026-11-19 10:10:09
8
juma valerian :
wengi wao wameleft[Laugh approved][Big LOL]
2026-11-19 09:06:45
1
Neema Tungalaza :
kwaiy mm ndio siolew ten
2026-11-19 09:57:55
0
Elizabeth Hatibu :
vipi wangesema vyeti vya kuzaliwa, kwani kuna watu hawajazaliwa na wapo duniani,mee nahisi kuchanganyikiwa kabisa
2026-11-19 08:39:30
6
bizzotravel :
tumekaa kmy kwa sabab hatn mpango wa kuoa
2026-11-19 18:31:48
1
Monicca :
Yani Kaz ipo nida tena kwenye ndoa
2026-11-19 08:23:26
1
THE HD IYOBO MOVIE'S :
nani kasema hvy mbna mm nimeoa bira nida 🤣
2026-11-19 11:08:15
1
@mwenda mseya.tz :
kwani Bado hamuamini kuwa viongozi wa hii nchii wamepinda,wamevurugwa yaani wanachanganyikiwa kila kukicha ni vile tu hawataki kusema .sijamtaja mtu hata me mwenyewe ni kiongozi vile vile😏🙌
2026-11-19 14:50:00
0
NANA juice :
ndoa ni amri ya Mungu sasa serikali wameanza kuingilia ili swala sijui kazi za nchi zimepugua😁😁😁
2026-11-19 13:07:57
4
Mr Av :
Binafsi naishukulu seeikali maana nilikuwa najiuliza ntafanyaje ili nisioe, Ila wamenilaisisha mambo nimetupa kitambulisho mpaka mda huu Sina NIDA
2026-11-19 07:00:36
1
Glory Julius :
🙆♀️🙆♀️🙆♀️mpaka hapa ndoa sina
2026-11-19 11:52:36
0
g mom :
Bola nimeolewa xijuw ningeitowa wap mm NIDA
2026-11-19 11:52:19
2
cha mamy :
atakae kuwa anasimamia ndoa za nida ni nan tena😂😂
2026-11-19 08:06:48
3
given allan :
siwaz mm na nitafunga ndoa km vipi naenda zangu malawi