Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@bomsiji2: #@YARO @ya ibrahim @Umar jinana @son @ABBAS GAYE✈✈✈ @MANDEWITHGOGA✅ @💚 TikTok Update 🦋🩵🥂 #🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
💣bomsiji💣
Open In TikTok:
Region: NG
Wednesday 18 November 2026 20:12:15 GMT
76
19
1
10
Music
Download
No Watermark .mp4 (
4.62MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
4.62MB
)
Watermark .mp4 (
4.62MB
)
Music .mp3
Comments
small bilo mone $&@ :
🥰🥰🥰
2026-11-18 21:03:19
1
To see more videos from user @bomsiji2, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
damon com essa musica>>>>>> #damon #damonsalvatoreedits #tvd #fyp #foryour
احبك وشاريكوحن لك💔😔. #شيلات_فخمة❤️ #جبراتت📮 #تصميم_فيديوهات🎶🎤🎬 #مالي_خلق_احط_هاشتاقات #مالي_خلق_احط_هاشتاقات
“Je, uchochezi ulitambuliwa kihalali kuwa kosa dogo linalohusiana na uhaini? Je, viini muhimu vya kosa la uchochezi chini ya kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu vingeweza kupatikana kutokana na shtaka la uhaini kwa njia inayotakiwa kisheria ya kuondoa baadhi ya viini vya kosa la awali, bila kuongeza viini vipya ambavyo havikuwamo katika shtaka la awali?” - Wakili Paul Kisabo, THRDC “Ni kosa gani mahsusi la jinai ambalo Mhe. Lissu alidaiwa kuwachochea wengine kulitenda, na je, lilithibitishwa bila kuacha shaka yoyote ya msingi? THRDC ilihoji na kuchambua iwapo hukumu ililitaja kwa uwazi kosa hilo la msingi na kuthibitisha nia ya kijinai inayohitajika pamoja na viini vingine muhimu vya uchochezi” - THRDC “Uthabiti na uwiano wa hoja za Mahakama Kuu kuhusu uhuru wa kujieleza kisiasa: THRDC inaona kwamba, Mahakama ilipoamua kuwa shtaka la uhaini halikuthibitishwa, Mahakama ilitambua kuwa kauli kali, zenye kuudhi au kukosoa Serikali na madai ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi haviwezi vyenyewe kuwa uhaini bila uthibitisho wa viini vinavyotakiwa na sheria. Hata hivyo, kauli hizohizo zilitumika baadaye kuwa msingi wa kutiwa hatiani kwa uchochezi. Kwa hiyo, THRDC inahoji iwapo hukumu ilieleza vya kutosha tofauti ya kisheria na kiushahidi kati ya hoja zilizofanya kauli hizo zisiweze kuthibitisha uhaini ila zikathibitisha uchochezi. Mabadiliko hayo yanaibua maswali kuhusu uthabiti, uwiano na ukamilifu wa mantiki ya hukumu” - THRDC “Je, Mahakama ilizingatia ipasavyo muktadha mzima wa ushahidi na mazingira ya kisiasa ya kauli hizo? THRDC ilichunguza iwapo hukumu ilizingatia hotuba nzima, hadhira yake, mazingira ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, uaminifu wa ushahidi na tofauti kati ya utetezi halali wa kisiasa na kuhamasisha kwa makusudi kutendwa kwa kosa la jinai. Kwa kuwa video haikupokelewa kama ushahidi, THRDC inahitimisha kuwa Mahakama haikuchunguza hotuba nzima ili kuelewa muktadha wa hotuba nzima” - THRDC “Je, adhabu ya kifungo cha miaka minne ilikuwa halali na yenye uwiano, hasa kwa kutotolewa adhabu ya faini na kwa kuzingatia kuwa Mhe. Tundu Lissu alikuwa tayari amekaa mahabusu kwa siku 577 akisubiri shauri lake kuamuliwa? THRDC inahoji iwapo hukumu ilionyesha wazi jinsi siku hizo 577 zilivyozingatiwa na iwapo kifungo badala ya faini kilikuwa na uwiano kwa kuzingatia mazingira ya shauri na aina ya kosa la uchochezi” - Wakili Paul Kisabo, THRDC
Somos los ruleteros... #tarjetasdecredito #infocorp #prestamo #deudas #yape
LOVE❤
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy