@jahary81: some lovely momments of the day

jahary
jahary
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 20:16:44 GMT
19477
1982
94
52

Music

Download

Comments

user9665291488115
Mr P :
Nahisi wewe unaimani kama yangu, "vyeo tulivyo navyo vinatoka kwa Mungu" Mungu akubari sana Afande
2026-11-20 18:56:15
1
mgleader05
mgleder tz :
kwaya ya parokia gan na jimbo lipi nimeipenda
2026-11-20 18:29:47
1
christinamalosha
sanji❤️ :
yaani apo lazima muimbe vizuri mtake msitake🤣🤣🤣🤣
2026-11-20 11:38:55
2
user1055268804508
Elly 💞 :
huyu mwalimu namfahamu amenifundisha kuimba kwaya yaani yuko vzr balaaa
2026-11-20 16:58:54
1
christopherpatri23
Christopher Patrick :
Nisipoenda mazoezi ya kwaya napata kesi ya uhaini hapa🤣🤣🤣
2026-11-19 07:01:19
13
mwenekasizk
mwenekasi@zk :
naomba nifahamu jina la wimbo huu na mtunzi amina
2026-11-20 18:46:46
0
reggie_msofe
Reggie_. :
mwl Dominick isdory
2026-11-20 11:16:41
1
habibtynuuh
habibty nuuh :
amina kaz ya bwana ibalikiwe hongera
2026-11-20 10:35:01
1
magrethcostantine2
user8425309603992 :
Waooo kumbe Kuna maafande ni waalimu wazuri wa kwaya
2026-11-19 16:51:14
6
joseph.mbena1
joseph mbena :
daah mwalimu msangi nakukumbuka sana tulikuwa wote parokia ya magagura
2026-11-20 17:35:49
0
thomascharwe7
jbtom :
kazi ya Mungu itendeke aman
2026-11-20 06:33:46
1
musambuti
musa mbuti. :
afande domi💪💪💪🫡🫡🫡
2026-11-19 20:23:01
1
makubi525
Makubi :
Kazi nzuri sana na hongera mlinzi wa raia na mali zao. Mungu akutunze katika kazi yako
2026-11-20 15:23:24
0
vibesirene3
vibesirene :
kumbe mwalim mzur wa kway baba
2026-11-18 20:59:52
5
amos.marcus
Amos :
Parokia ya Mjimwema 🥰🙏
2026-11-19 18:56:51
1
kelvin.mwakisyala
Kelvin Mwakisyala :
tumuimbiee bwanaa jamanii
2026-11-20 08:36:40
1
dcmkingajr
dcmkingaJr :
dominic msangi
2026-11-20 07:37:05
1
altafbachoo779
Altaf Bachoo :
Mungu akubariki,
2026-11-20 07:48:13
0
makubi525
Makubi :
Kazi sana, ukawe mtetezi wa wanyonge kupitia Injili na Zaburi uzifundishazo. Amina
2026-11-20 15:22:11
1
user4167315493939
Luka John :
Nimekimbilia kanisani nako mnakuja daa kwahiyo twende wapi sasa ee
2026-11-20 14:05:18
1
its.veronica51
It’s me Veronica :
Kwahy Umeamua kujificha huku
2026-11-20 05:45:33
4
monalisanovati
Mona mo :
hongera afande
2026-11-20 10:00:44
1
inyasi_rweyz
rweyz :
🔥🔥🔥🔥 nimekubali
2026-11-20 10:39:29
1
user1682821823499
user1682821823499 :
umenifurahisha sana afande Mungu kwanza mengine baadae
2026-11-19 20:30:07
1
neema.georgina
Neema Georgina :
Asanteni sana
2026-11-20 07:37:43
1
To see more videos from user @jahary81, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About