@ali_wisdom: Nina dada ambaye ni sehemu ya moyo wangu, thamani yake haiwezi kupimwa kwa maneno. Bila yeye, dunia yangu ingepoteza ladha, furaha na rangi zake. Yeye ni Malkia wa moyo wangu, na upendo wangu kwake hauna mipaka. Dada si ndugu tu, ni zawadi ya pekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu; kwa kweli, yeye ni furaha ya moyo wangu na pepo ya dunia yangu. ❤️ #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
Allah awape furaha dada zetu kuna sisi wazazi wetu walitengan tangu tukiwa wadogo walitutawazish na kutupigia Uniform pasi za shule na madrasa ni wao walitulea km ni wazazi wetu . Dhhh🥹 Utotoni kwangu nliwah kuhadisiwa kuna dadangu kama alikua hajanitawzish sijisjii raha kwio nkimaliza haja nlikua namwita kwa jina Ila mumewe alifariki na mwanawe namlea walh ni yatima alinifanyia wem na namlipa wem km alivo nifanyia zilivo sem hadithi za Mtume wet Muhammad (SAW) Allah atamlipa na atawafanyia wepesi Dada zetu 🥹🙏
2026-11-18 21:14:37
2
doryan💫💥⚡❤️ :
@Rebecca uhagile ...@💫Vaileti 🫶💓 @upendo electronic g mboto🤭 nawapenda sana ❤️❤️
2026-11-18 21:02:10
1
jshsnksbbsakkaam :
Umekuwa msaada mkubwa sana kwangu khatma yetu imeumbwa kuwa pamoja sijawahi kukuona wakawaida hata siku moja Allah akulipe kheri 😭😭😭😭😭@Grateful
2026-11-18 21:23:43
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.