Kuna hio siku nlitaka mwambia msichana nampenda lkn nina mtu wangu si nkapaliwa kidogo ni kufe kwahyo sitarudia tena 7bu mm si mtu wa mtu ni mtu wa munguu....🤣🤣🤣
2026-11-19 11:18:33
1
Carorinah Telesphory :
aaah iyo sijawai ona🤣
2026-11-19 13:15:27
1
Mo the expert🪡💞 :
hii imenikuta mm jmn ukweliiii kabisa 😭😭😭
2026-11-19 09:15:51
1
Natokea Tabora :
najutia nliwaambia mpk wadada wawili kipindi naanza anza map,,,,😭😭😭
2026-11-19 09:58:16
1
abeidy🩺💉💊 :
mtuu wa wapi
2026-11-19 09:23:26
1
@hassanivision :
Fara kweli wewe utakuja kutuvunja mbavu Fara wewe😂😂😂
2026-11-18 21:57:08
2
B.R.I.Z.Z.Y.🐦🔥🗽 :
wakwanz
2026-11-18 20:52:25
1
Sophia :
😂😂😂😂 sijawai
2026-11-18 20:57:19
1
DIRECTOR_LEKENNY :
mtu gani ety
2026-11-19 07:44:34
0
NchimbibenPlanner @sports news :
niseme ili iweje
2026-11-19 16:24:11
0
Sabah official :
Nashindwa kwelewa
2026-11-19 17:43:57
0
Sekulu Alex :
alisema doumbia
2026-11-19 17:08:44
0
Yohana B :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 me nikuchekaa tuuu humu TikTok
2026-11-19 17:00:45
0
lily Flower 💖 :
nachoka mimi😂🤣😂
2026-11-19 17:17:18
0
To see more videos from user @musayasiniquotes, please go to the Tikwm
homepage.