😅alaf bahati mbaya wanafamilia kma watatu wafariki ndani ya mwaka mmoja😅
2026-11-19 05:44:09
195
Anzi :
Kuna mwanafamilia yule mbishi lazima atachungulia tu ndani😂
2026-11-19 07:07:53
51
Hamisi :
code alikuwa nayo baba mdogo hadi ndg zake walikuwa hawaji mm nilikuja kugundua alipoumwa akanituma kwny kile chumba kumbe kulikuwa chumba cha sinema[Tears of joy]
2026-11-19 06:24:09
95
Elysh-£** :
mama angu atawasha redio ya mwamposa ataitupia ndan humo[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-19 08:17:11
2
pilato mwadventista :
mimi natenga chumba cha ibada
2026-11-19 07:17:45
26
Mamyto :
Usikute ukishatenga chumba tu majin yanakuja yenyewe 😂😂😂😂
2026-11-19 07:39:11
13
Bei Ndogo :
mm sasa Kam mdogo Ako na ndugu zako siku ambazowe hauingii 😂😁
2026-11-19 04:51:57
52
Sultan_bin shaban :
Umetoa Code bana
2026-11-19 05:15:17
17
Segele Massawe :
Hii niliwai kufikilia kwy nascreen shot nisije nikasahau
2026-11-19 05:59:53
17
Lina Mrema :
Alafu ndugu wafariki mfululizo kwa maradhi ya tuu ndani ya mwaka mmoja uje kutoa mrejesho😂😂
2026-11-19 06:40:14
10
Fredoh🇹🇿✍️ :
Haram ni Haram tu 🤣🤣🤣
2026-11-19 04:47:26
7
Dada Kabendera🇷🇼🇹🇿 :
Hahahahhaa umetisha😂😂😂😂
2026-11-19 08:22:44
1
sophiaomary527 :
😂😂😂😂😂😂mbinu zur nisha pata mbinu bado kupata utajiri
2026-11-19 07:41:16
4
Empress👑Aira🌬 :
watu mnapenda kutoa siri jmn mpk mnaniudh😂
2026-11-19 07:53:25
2
cynex93 :
Big idea 💡...big dream ✅...always we build fear😅
2026-11-19 06:40:34
0
@.mr senior 👩🔧 :
sasa siungenipgia uniambie mim pekeangu🥺🥺🥺🥺 hyo code ona sasa kilam2 anajua
2026-11-19 05:36:02
11
Bingwa Batibomba Tz Ltd :
😂😂😂😂 we shetani kweli
2026-11-19 07:59:41
1
Stylish_Anniel29 :
Good idea😂😂
2026-11-19 08:12:05
0
Ngadu 1️⃣9️⃣👑 :
Idea nishapata bado kujenga nyumba 😅
2026-11-19 07:18:49
4
Stuwart Kusiga :
hiyo nzur nmeipenda🤣
2026-11-19 06:31:56
1
PERRY_COLLECTION_WORLD :
huu mfumo unafanya kazi vizuri
2026-11-19 06:48:27
4
Waziry Jr :
Ww jaman umejua kunichekesha wallah🤣🫡
2026-11-19 06:42:51
4
Steven moses :
Bila ukauzu pesa utaiskia kwa jiran tu
2026-11-19 05:32:42
4
It's_-_ Michael🇹🇿 :
umewaza mbali sana🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 06:21:20
2
anyelwisyelupondo :
Ahahahaaaa hapo umetisha saana mkuu tena utakuwa umeongeza nidham maana watakuwa Wana kueshim na kuku ogopa
2026-11-19 06:01:19
3
To see more videos from user @.jowzey47, please go to the Tikwm
homepage.