@premexahome: PREMEXA CLEANING 📌Tunatoa huduma ya kusafisha sofa kuanzia 15000 na kuendelea. 📌 spray jumla 5000 rejareja 10,000 📌 pia tunatoa huduma zote za usafi ikiwemo usafi wa vyoo ,madirisha ,maofisi ,kumbi za sherehe , tunasafisha carpets na tunafanya usafi wa nyumba kwa ujumla 📌 TUNAPATIKANA DODOMA 📞 0757733553/0655733583 KARIBUNI SANA#sofacleaning #dodomacleaningservices #deepcleaningdodoma#premexacleaning#premexahome
yamenikuta jaman nilikuwa na mahusiano nae kabsa ila kaja kunigeuka🥺
2026-11-19 14:09:20
0
DavidoTz✨🇹🇿 :
watu wanapenda userious😂
2026-11-19 14:01:45
0
Mr NewLife :
na taka iyi machine
2026-11-19 12:14:05
0
sarah ☘ :
Mpo mbali jmn mngekuwa dar
2026-11-19 14:02:25
0
💞Angel :
me natafuta kaz mabosi zangu kuhusu wanaume nimewaachia wanawake
2026-11-19 13:22:45
0
Annalyn shop :
hahahahahhah iliwah tokea kuna partina wang dem wake alikua anampigia jamaa akamwambia hiv huna kaz ya kufanya ntakublock 😂😂😂 yoh!!! yan mim nakibur changu nikikupigia tuu ukaignore sikutafit tena
2026-11-19 06:05:43
1
🌸Glow-rya🌸 :
Arusha mnapatikana wap?
2026-11-19 09:18:34
0
TAIBA COLLECTION 👜🥿👕👗 :
daa Sema tunateseka saan aisee
2026-11-19 08:36:11
0
v lover :
jomon nipo nwanza napatawap namba ya wasafishaji
2026-11-19 14:36:24
0
♋️💜🌸 :
Me mwenyew mtu tukikulana cpend aanze kunibana bana
2026-11-19 07:08:37
0
Cha🌸RiY :
😁😁😁
2026-11-19 09:25:50
0
To see more videos from user @premexahome, please go to the Tikwm
homepage.