kwa mlango gan wakuvaa viatu vyangu vya zara[Tears of joy]
2026-11-20 13:33:29
601
Sia :
ATA mm nina viatu vyangu vya kwenda kwa mwanaume asiyehudumia🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 19:26:19
500
🦚💞cutehearty🌹🦋 :
kam bwan wenyew haudumii afanyaje jamn
2026-11-19 11:34:30
705
I am Chichi Kimodo🫶 :
Bwana Hana Miya Mimi napata wapi[Laugh approved]
2026-11-19 17:34:31
38
Official g🌹🦋🦋 :
Me nd mwenye ivo viatu nikitoka mtatajana😁😁😁
2026-11-19 15:18:25
142
Fazila Dato :
wee mm nilienda na viatu pambe kwa bwana na viatu vimepambwa na mauwa yani vizur si nikaacha nje km hivoo watoto wa humo ndan wakatoa mauwa yoteeee[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] weeeee
2026-11-21 12:48:57
0
Mariam Saidi :
ndouwezo wake ulopo ishia
2026-11-19 13:23:43
52
reymers1 :
Shares ni nyingi kuliko likes 😂😂
2026-11-20 07:12:33
43
Unique-hawa :
mi hata sioni cha ajabu mana viatu vina hadhi ya mlango
2026-11-21 13:39:22
15
Sekela Mushy :
mbon ivyo Bado vipya
2026-11-20 14:24:51
18
Ida💞💞 :
sipendi mtu anayefatilia maish ya watu😄
2026-11-20 12:51:20
89
miss nyaki :
Sasa hvo ndo the best
2026-11-21 12:03:25
0
grater👌 :
ayooo ND maishaa y kwel sas🤣🤣
2026-11-20 18:38:56
0
Ayouny🌹 :
uyo ndo wife material ssa 😁 hanaga show off 😹😂
2026-11-20 17:05:10
0
Ęp🍑 :
ticktok is better than food🤣🤣😂😂
2026-11-20 19:59:09
0
Paulah🦋✨ :
Nachoka mm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-21 08:27:36
0
514------🧸☺️🌸 :
kafika hajafika
2026-11-20 05:59:53
7
Madame jay07 :
Ni vyangu nilikuwa nimetoka shambani nikapitia tu mara moja