i can't tolerate this kind of disrespect anyway proud to be a Muslim
2026-11-20 20:00:50
9
mtesolonike :
hio ni madarau kubwa sana mchungaji siseme kwa ubaya nakweshimu sana kaa mzasi but ikiwa MUNGU amekubariki usitusi mtu nakutupa pesa wakati unapeya mtu ju sijawahi ona ukipeyana pesa kwa mkono lasima uzitupe chini anyway kaa nimekosa kwa kukuelesa am sorry.