@icon_danny90: #10millionviews #sadquotes #deepquotes🥀 #hearttouching #fyppppppppppppppppppppppppppppppppppp

𝗜𝗖𝗢𝗡_𝗗𝗔𝗡𝗡𝗬🏌🏽🎱
𝗜𝗖𝗢𝗡_𝗗𝗔𝗡𝗡𝗬🏌🏽🎱
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 03:42:19 GMT
936
182
50
2

Music

Download

Comments

kivulix.nexovibe
kivulix nexovibe❌🚻🚫 :
punguza malafiki make your own choices
2026-11-19 06:25:19
4
brizz.brian
Brizz Brian :
wasisahau rule number 5 thats says we are chasing dreams not feelings
2026-11-19 10:35:11
0
dj.dazzle4
DJ Dazzle4 :
Wasiwe wepesi wa kuvunjika moyo kwasababu kuna mambo mengi ya kuwavunja moyo na kupoteza matumaini wawe watu wa kuto kutarajia kitu chochote kutuka kwa yoyote 🥺
2026-11-19 08:20:23
7
name.....d
💱name...d💱 :
Usimwambie kila mtu mipango yak, hata mbegu humea gizani kabla haijaonekana dunian 🫡🖤🔥
2026-11-19 03:59:08
3
rahimmussa438
Rahim Mussa :
dah brother tuna mengi ya kuwaambia ila acha waje tu wakutane na nin maan ya dunia me na umli wangu huu mdg lkn napitia mengi sana brother so acha waje wajifunze maan hat sis tuliambiwa ukikua nd utaelewa.
2026-11-19 04:49:36
3
the__code__man
Mr_G_•°• :
wasisahau tuna pambana sana kwenye maisha ambayo yana isha muda wowote, eshimu kila mtu
2026-11-19 04:53:34
3
purple_real1
purple_real og😊 :
Maisha yako yapo mikononi mwako mwenyewe
2026-11-19 05:56:49
2
user3252433197323baraka
Baraka Marko :
ᴅᴏ'ɴᴛ ᴄᴏᴍɪɴɢ
2026-11-19 03:48:40
0
viclam13
oficial viclam :
ni kujipambania sanaaa2 kaka
2026-11-19 04:40:00
0
hassan.mufti.hamis
hassan mufti hamisi :
kiukweli kaka napenda kuwaambia wasije kwa kasiiiii Sanaa kutaka mafanikio wakasahau Kuna utu na mungu pia
2026-11-19 19:36:45
3
seyx_10
SecretBoy ✓ :
wambie maisha sio rahis
2026-11-20 08:27:00
1
modest367
✌️ ordinary man 😎🇹🇿 :
me nilichojifunza kama mtoto wa kiume kama una wazazi wote wawili aisee baba ndio kichwa cha familia ndio anayebeba mizigo yote ya famili ni wakupewa heshima rest in peace baba yangu umeniachia mzigo mzito sana 🙏🙏
2026-11-19 19:03:43
2
herryvin_
KING👑 :
Ukizaliwa boy the moree unakua ndo the moree unamsamehe baba ako📌📌
2026-11-19 19:09:23
2
mr.dachi55
Muhh22 🦺🚬 :
uchi ndo kitu cha kwanza kitakacho kufelisha kwenye upambanaji mwanaume wa badae
2026-11-19 15:08:28
1
mo.smart.hd
Mo Smart HD :
📌📌CHOCHOTE UTAKACHOKITOA KWA MTU SI TIKETI YA KUWA KITABAKI NA WEWE MILELE KIUFIPI FANYA KWA KIASI 📌📌 watu wana watu wao na vipaumbele vyao
2026-11-19 19:48:56
1
zongogochooo
zongo'gochooo :
ah mim sin jipiy ira waish nawa2 vizury watatobow na wasisahau kuw waminif kweny maish na wasichok kutafut ut uwishi ir pes zinaish ujuw moj1 ni 1 ukion 1kweny 1 ujuw ni kum11
2026-11-19 14:00:40
1
eva.chamlulu
🫰💯[email protected]@🍁🍁🤬 :
ucion kila menye furah yuk xaw na anamaixh mazur jap.mnkutan xehem nzur jua kuna maumiv aeywek kand bc unp pat maumv jarb kua mkakmav na kulind hexhma yak
2026-11-19 09:55:23
1
user4208407308314
Son of GOD :
Ushauli wangu sela Kwa kizazi kijacho wasikumbilie hizi sketi zitawaludißha nyuma kimaendeleo endapo wakiwa na malengo kuja kutimiza watakua wamechelewa sana mapenzi yapo ndo ninacho washauli wasikumbilie kupenda mapema sela
2026-11-19 09:13:20
1
salumukingwendu
Babu salu💯💯💯 :
watafute sana pesa maan ndo Kila kitu kwa sasa na wafanye sana ibada
2026-11-19 09:47:09
1
rj.mshana
mshana ♍️ :
watafute pesa kuliko chochote iyo ndyo itawapa chochote
2026-11-20 14:58:12
0
wiseboni47
Boni wise man :
be alone is better
2026-11-20 13:11:19
0
obby.masterk1
Obby talks 🚨 :
dah mim nawaambia waitaman sana vya watu kwa maana hata kile chakula kitamu wakipendacho kitapikwa siku ya msiba wao na hawata kula ivo 👑
2026-11-20 09:51:20
0
________discover
DiScOvEr DEE🍁 :
mwanaume usiwahi jaribu kulala na mke wamtu demu wa rafiki Ako na ex wa rafiki Yako
2026-11-20 09:01:48
0
doublez016
💫💫Ðøubl£ Ź💥💫💫 :
wapunguze conection..
2026-11-20 08:19:17
0
futuremillionaires19
Future Millionaire Mind💸 :
KUWA MWEMA KWA WATU HAIMAANISHI WATAKUWA WEMA KWAKO, USITEGEMEE MTU YEYOTE MUNGU NDIO AWE KIMBILIO LAKO KWENYE KILA GUMU.!💯
2026-11-20 20:49:24
0
To see more videos from user @icon_danny90, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About