@_zuzaism: Part 277 | Tunazungumzia fumbo la kisaikolojia na kinishati linalofunua ukweli uliofichwa nyuma ya maumivu ya kuachana au kuvunjika kwa mahusiano. Jifunze jinsi watu wanavyokuwa vioo vya kuonyesha uwezo uliomo ndani yako, kwa nini upendo, furaha, na kina cha hisia ulivyohisi vilikuwa vinatoka ndani ya nafsi yako mwenyewe, na jinsi ya kuachana na hofu ya kupoteza ili kusimama kwa amani ya ndani (Equanimity) ndani ya himaya yako. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #Relationship #selflove
kuuliza sio ujinga nakufatilia mda mrefu tangu nikutane na posti yako ya kwanza kwangu kuiina swali langu ni je, ni Bure kujiunga kwenye group hilo la wasap napenda kujifunza🙏🙏🤔
2026-11-19 14:30:09
3
eusebimallya :
nadhani hii ndio uhalisia sahihi
2026-11-21 21:02:57
2
kidi77 :
nakufatilia san broo
2026-11-19 13:32:25
1
p@clara :
Asante 🙏
2026-11-19 16:46:12
1
@~Röbãrt Mpôtå✅ :
sahiiii
💯💯✅️
2026-11-19 18:00:52
2
user6588819920223 :
mwalim
2026-11-20 18:13:32
1
Imma Bayser Tz :
duuu hii imenifariji
2026-11-19 22:02:47
1
Vance⚡💥 :
ee bana asante
2026-11-19 21:58:18
1
positive Global Women🌱 :
Asante
2026-11-19 16:19:44
1
Real Pablo smarter :
Yaani kaka nikama hii video umenitumia mimi yaani leo nimeachwa alafu nina mawazo Asante kaka umenifariji ngoja ni kufollow
2026-11-20 00:48:22
3
Lovelen :
leo umenifanya niku follow kaka dah
2026-11-19 12:15:57
2
MABATI IMARA ORIGINAL :
wote waliopsta masomo yao chini ya B shuleni hawawezi kukuelewa kaka niamini mimi😂
2026-11-20 06:00:56
2
Mr Right 🌬🌊🔥🌍7th :
😉
2026-11-19 12:09:24
1
Mwashiuya ♒ :
✌️✌️✌️
2026-11-20 04:31:58
1
🆁🅴🅽🅳🆄 𝕁ℝ 𝕎𝔸𝕊ℍ𝔸ℕ𝕀5️⃣ :
🥰🥰🥰
2026-11-20 18:23:27
1
Shadrack Mponzi :
👍👍👍
2026-11-20 13:21:02
1
Ram foxes :
😂😂😂
2026-11-19 15:19:49
1
inno :
✅✅
2026-11-19 15:48:48
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.