@sekustores: #creatorsearchinsights #ugalicookermachine ✅2 in 1 Ugali cooker ya kisasa yenye kupika vitu zaidi ya kimoja ✅Sifuria lake ni non stick ✅Ujazo wake ni lita 5 ✅Wareanty ni mwaka mzima ✅Haitumii umeme mwingi ✅Utapika vitu kama ugali, mlenda, mtoli na jamii zake ✅Ni mzuri sana inaokoa muda, inapika haraka na kwa usafi zaidi ✅Unaweza toa mwiko wake ndani na ukatumia kama sifuria ya umeme kwa kupikia kila kitu kama wali, maharage, supu, ndizi nk.., ✅Tunafanya delivery nchi nzima saa 24 Call/WhatsApp +255767318721 #creatorsearchinsights #foryourpagegoviral#ugalichallenge