@ekibobo.1: Russia president Putin was emiliated in China#fypdong

peter idewa papa
peter idewa papa
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 19 November 2026 04:35:49 GMT
15268
900
40
29

Music

Download

Comments

lafacemontpellier
LAFACE MONTPELLIER🇰🇪🇺🇬🇶🇦 :
si putni ni putin.
2026-11-19 05:24:54
1
akamani_comedy
AKAMANI :
hiyo ni strategy buana ..China na Russia watakufanya uone vituko😂😂😂
2026-11-19 06:23:31
2
georgenjungwa
múhúri mbúgua :
suching for the holder of present super power
2026-11-19 12:38:20
0
samlwamb1
SAM EL :
body language here is smarter than actions
2026-11-19 06:22:19
2
havilah41
President advisor* :
Inaitwa PSS (potfolied smart strategy). Shifting of viewers' point to a different angle Kwa chase game. Hapa ni America anachezwa na anajua kuwa Hana la kutegemea Tena Ila kuikubali kama ilivyo.
2026-11-19 07:29:07
1
pascalcastral6
wanga jr :
hehe izi content za kenya poooooh🤣🤣🤣
2026-11-19 19:03:49
0
nuru4503156
nuru4503156 :
hapo hakuna dharau Putin na xi wanakutana mara nyingi wamezoeana
2026-11-19 17:48:27
0
123paulpaulo
[email protected] :
why's Putin right hand not swinging like the left one
2026-11-19 14:30:39
0
justineguto
Papa Wemba :
your perception tu
2026-11-19 09:12:33
1
dominicyen
dominicyen :
Hiyo sio ubakusi
2026-11-19 05:32:21
1
user4792922567252
waupe :
Tramp yuko filipino hajaenda china a x j p na putini walkua pamoja sasa hio ni kumzuga tramp tu
2026-11-19 07:33:57
1
akedi88
Akedi :
Kuna time pia trump alifanyiwa ivo
2026-11-19 04:43:29
2
mechanic82324
mechanic :
sasa inatuhusu nini lakini
2026-11-19 16:24:13
0
mussahoseni
Mussa Hoseni :
umefeli broo
2026-11-19 07:18:14
1
chelseale1palmer
❤️❤️🔵 Chelsea :
acha kuleta ukabila yenu ata mambo aiwaushu
2026-11-19 13:38:12
0
clovian.mutavalipcjmb
sage fashionistas ☠️☠️ :
Africa n'a Europe
2026-11-19 12:19:13
0
yarodirodri
yarodi :
china hua rais hakwendi pokea mgeni ila Xi alifanya hivyo kwakua trump alikwenda mpokea na yeye alipokwenda marekani kwakua namarekani hua rais hakwendi pokea mgeni🤣mwezi watano trump alipokwenda china XI akwenda mpokea.kuusu ile ulitaka Poutin akasimame kati ya XI na mke wake?
2026-11-19 12:32:36
0
patriott50
REAL PATRIOT :
bro unaoverthink my friend we ulikuwa unataka vitu zikuwe aje
2026-11-19 04:41:17
0
nurdin.international
Nurdin international :
ayatollah Khomeini
2026-11-19 10:08:02
0
princebing1
king-bing1 :
China na Russia ndio wataanzisha world war 3
2026-11-19 05:56:17
1
lumuma7
lumuma :
so unatak tufanyanje
2026-11-19 19:42:27
0
jonasmwalikya4
NEVER GEVI UP :
hakuna chida hapo
2026-11-19 09:27:56
1
user6146356563250
fred :
kushift nguvu Kwa china anje hueleweki,
2026-11-19 06:16:06
0
rice_joka_digits_alchemy
rice joka creation scientist :
hapa chakata picha mbili kwa hii tukio. picha ya kwanza ni kutaka kuonyesha Trump ni WA maana saama jinsi anavyotaka Dunia imutazame. wao wanajia kwa uhalisi hivi sivyo mambo yalivyo kimandhali has a baada ya vita na Iran. kwa hivyo ilikuwa kejeri na vitimbi baina ya Putin na shi. picha ya pili kuonyesha Trump kwamba Putin akiwa china ni mwenyeji sio mgeni. ni wageni aungaziwa sana kwa sababau mgeni mto tuu, Maji yanapita iende wenyeji watabaki. hii picha Trump anafaa aichakate vizuri sana na aitafakari
2026-11-19 07:44:38
0
mr.poker254
Mr poker254 :
putin apedi padisha mingi
2026-11-19 05:31:08
0
To see more videos from user @ekibobo.1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About