@john_madeje: ✅VIWANJA BEI ZINAANZIA 6,000,000-12,000,000 ✅HATI BURE ✅LIPA CASH AU KWA MKOPO ✅VIWANJA HIVI VIKO DODOMA-CHAMWINO IKULU-MSANGA-IKULU SACCOS KARIBU NA CHUO KIKUU KIPYA CHA WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI CAG KINACHOJENGWA. ❌Kwa wawekezaji wenzangu wanaotaka kuwe majirani zangu na tumiliki wote na tufaidikiw wote nakupa hivi viwanja vyangu baadhi sio vyote nauza so atakae wahi ,ushindwe wewe kuchangamkia fursa leo ✅VINAFAA KWA MATUMIZI YA KUJENGA VITU VYA BIASHARA KUSUPPORT CHUO NA MJI WA SACCOS KINACHOJENGWA MFANO.. ✅Hostel,guest ✅Frame za biashara nyumba zankupangisha ✅bar ✅hotel ✅maduka ya madawa na maabara ✅wengine wananunua ili chuo kikifunguliwa mwakani wauze kwa bei nzuri wapate faida zaidi. ✅Cash: TSh 10,000 kwa m² ✅Miezi 6: TSh 11,000 kwa m² ✅Mwaka 1: TSh 12,000 kwa m² ✅Awamu: malipo ya kuanzia ni 20% ya bei yote. VIWANJA VYA KONA(CORNER PLOTS) ✅Cash: TSh 11,000 kwa m² ✅Miezi 6: TSh 12,000 kwa m² ✅Mwaka 1: TSh 13,000 kwa m² ✅Awamu: malipo ya kuanzia ni 20% ya bei yote. Wahi kiwanja chako leo wasiliana nami kupitia (+255) 0757933264 @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd #biashara #ujasiriamali
John Madeje
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 05:04:14 GMT
Music
Download
Comments
MasseaJr. :
kwa hyo tukope tununue mchele?
2026-11-19 14:50:51
4
🎸 :
gari apo sio kwl broo
2026-11-19 14:29:46
2
Kaloza International. :
Kwa heshima Saana Brother ✌️
2026-11-19 12:22:53
4
🍓🍇🍒 :
Kweli kabisa Nina ushahuda!
2026-11-19 16:10:45
2
Masha :
Mbona wabunge wetu kila bunge jipya linapozinduliwa wabunge wote hukopeshwa magari? Hebu nenda ukawape hii lecture wabunge tuone kama watakuelewa
2026-11-19 06:29:21
4
sweetmellon.08 :
Ila gari miezi 3,kweli kaka hiyo ni Pesa ndefu,tunajichanga miaka kadhaa
2026-11-19 06:23:47
3
B.Laizer :
nakubaliana na wewe
2026-11-19 06:11:39
4
EMPTY SKY :
brother hood is proud of you
2026-11-19 07:15:57
3
Makoi Mohamedi :
tunashukuru kwaushauri wako brother
2026-11-19 07:37:58
1
Eng_Kiobya :
je anayekopa mwili wake alipe kod
2026-11-19 08:13:30
1
Tanzanite sanitary ware :
ni huzuni
2026-11-19 08:15:10
2
siti quality store_Songea :
kwenye gari hapa sasa
2026-11-19 13:07:57
0
smart boy 06 :
kila mtu ana njia zake lkn kufanikiwa ni siri ya mtu wapo watu wamekopa na wakatoboa kusimamia to kile unachokifanya
2026-11-19 16:48:20
0
masaimaseke000 :
Usikope kwa ajili ya kulipa madeni
2026-11-19 16:30:14
0
Hancy_home_decor :
apo kwenye gari nmecheka miezi mitatu how....tuseme mtu analipwa 5m kwa mwezi anasave 2.5m kwa mwezi kwahiyo huyu mtu anunue gari la 7.5m hii s vitz used ya 2003 yenye namba B mkuu.....
2026-11-19 16:38:45
0
jayrod electronics :
maisha hayana formula 😅
2026-11-19 13:15:40
0
Neema :
Endelea kutupa nondo
2026-11-19 07:32:08
0
stong tower :
usichukue mkopo kwa kitu kusichokuingizia kitu, yaani liabirities
2026-11-19 12:11:40
0
Hamza :
brother nakukubali sana
2026-11-19 10:45:18
0
Dillys Beauty point Dodoma :
Mie nishachoka kua na gari. Nahisi nitaliuza. Naona Kama boda wangu . Plus kubolt iko vizur
2026-11-19 20:46:09
0
PROPERTY AND REAL PROPERTIES :
in short mikopo yote ni hatari usizungushe professor
2026-11-19 11:39:35
0
Ahmedyramaar :
usikope kununua kiwanja,kujenga nyumba isipoisha ndo utaelewa☺️
2026-11-19 11:27:08
0
mdosi 2 :
kaka unatugusa huku
2026-11-19 07:48:10
0
Tinah Accessories :
Gari litolewe
2026-11-19 14:21:10
0
It's Pierre :
Mikopo yote sitokopa ila mkopo wa kulipa kodi ya Nyumba ntakopa sana....😂 Nikijipanga Leo haimanishi Kila round ya kulipa kodi ntakuwa na pesa lzm ukope ustilike
2026-11-19 14:12:40
1
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.