@clemence.mwandamb1:

Augustino Mwandambo
Augustino Mwandambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 05:26:54 GMT
7959
694
122
73

Music

Download

Comments

kibela29
kibela :
Ukiristo umeanzishwa na Paulo mtume kwa wawakiristo inchini itali (vatikani) na ndio maana makaomakuu ya ukiristo vatikani na mathehebu mengine yote yaliobaki ni marekani ungereza na nchimwengine za kizungu
2026-11-19 13:28:14
13
salumchami
salumchami :
Waafrika wamebeshwa mzigo na wazungu, ukoloni jamani
2026-11-19 08:06:21
6
user2252101598679
Abdul Kareem Omary :
waisrael ni wakiristo na wayahudi
2026-11-19 08:23:53
2
user804485747343
nani :
nachoka mim
2026-11-19 18:21:04
0
omarry09
Giv3n :
tusipaniki
2026-11-19 19:53:03
0
miraji995
miraji :
Leo umenena
2026-11-19 14:54:19
0
heartbeeat001
heart beat :
ukimskiza kwa umakini bila hasira wala hisia utamuelewa
2026-11-19 09:38:29
19
davidmbilinyi7
user5489999807401 :
wakristo wa kwanza waliitwa hapo antiokia
2026-11-19 20:07:23
0
sharifu.idrisa
Sharifu Idrisa :
sema mwandambo watwambie wapiiii Paulo kautowa wapi ukirsto
2026-11-19 14:23:25
6
user5462825059909
mr lucas :
unatakaje sasa
2026-11-19 11:40:27
1
mohammedi.omary3
Mohammedi Omary :
magetoni kwangu😂😂😂
2026-11-19 09:16:11
1
jidi.boy46
Meli :
Kaanzisha Paulo
2026-11-19 15:37:00
0
mtakatifujoseph2
Prophet joseph :
ukirsto ni ufuasi wa kirsto sasa israel hawamwamini kristo yesu
2026-11-19 05:31:41
2
swahib876
young swaah :
watakuelew tu
2026-11-19 07:35:34
4
franco_jv2
franco_jv2 :
Uongo
2026-11-19 19:41:20
0
prophetemanuel6
last born :
mwantambo umerudi tena
2026-11-19 19:45:35
1
ar.ally5
Ar Ally :
Roma
2026-11-19 19:28:37
0
rajabmuungwana5
rajabmuungwana :
Eh! Mola wetu Mlezi tuongoze ktk njia ilionyooka
2026-11-19 14:18:47
2
user2252101598679
Abdul Kareem Omary :
huyu mzee anateseka sana
2026-11-19 13:33:32
0
mudy.majid
Mudy Majid :
antiokia kwa bwana paulo
2026-11-19 16:15:47
0
user777412847493
jmo :
wataelewa tu ni swala la muda
2026-11-19 07:24:05
2
user2143754990147
MJOMBA ISSA :
mm nimekuelewa ngoja nikazane kusoma
2026-11-19 16:53:19
1
abdallah.idd0
Abdallah Idd :
umeongea point sana mzee wanguu
2026-11-19 14:36:04
1
omarisa967
Omar isa :
bibilia inatusmbia ukiristo ulianzishwa antoc na paulo
2026-11-19 19:09:09
1
user7750100827024
usinikadirie gang :
hya ss
2026-11-19 09:46:26
1
To see more videos from user @clemence.mwandamb1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About