@pika.na.mimi: 🥥 VITUMBUA VYA TUI LA NAZI 😋❤️ Mahitaji: * Mchele vikombe 2 * Tui la nazi vikombe 2 * Yai 1 * Hamira * Hiliki * Sukari kiasi upendacho Vitumbua laini, vitamu na vyenye harufu nzuri ya nazi. 😍🥥 #Vitumbua #VitumbuaVyaNazi #Mapishi #PikaNaMimi #SwahiliFood

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 05:44:09 GMT
41990
2437
64
277

Music

Download

Comments

maida.msisi
maida msisi :
mbona wangu huwa wabaki na vitembe vidogo vidogo
2026-11-25 10:02:50
0
user9442561988183
Bint yaasin😘 :
kama sina nazi naweza tumia maziwa au
2026-11-19 10:19:18
0
hannahalaroamache
Hannah Maswai :
kama ni ya kuuza moja mtu anafaa auze how much
2026-11-21 09:46:52
1
mrs_suuh
Mrs_Suuh😍 :
Mchele wa aina gani?
2026-11-19 07:31:46
1
kanjibhay
kanjibhay :
kuna mambo najarib lkin si hii kit,sielew nimepika nn [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wallah process ni hizohizo lakin hum ndan mhhhhhh
2026-11-19 12:17:59
2
umm_salim
أم سالم 🤎 :
Ni lazima kuweka Yao naomba kujua ?
2026-11-19 08:42:10
1
zuhuramuturi
zuhuramuturi :
hiyo pan naweza pata wapi
2026-11-20 17:27:20
0
magrethhonorath
Magie :
Mafuta yakichumba kimoja tu niyakupikia mboga ya familia yawatu6 kwangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 18:43:50
1
jacqueline.masanj3
Jacqueline Masanja :
napenda unavyopika hauna mambo mengi ila uwe basi unaongea unatuelekeza
2026-11-21 14:44:44
0
malkiaoisso
MALKIA OISSO♈ :
km unaunga je unaweka bikombe 2 ama
2026-11-19 15:52:15
0
jay_nrmd
Jay_nrmd :
Love them please give recipe
2026-11-19 22:17:47
0
user20879696176688
user20879696176688 :
jamani zina kwa yamii
2026-11-21 06:48:05
0
melissah652
🍁𝓜𝓮𝓵𝓲𝓼𝓼𝓪🍁 :
Kwanini hukusaga na sukari kabisa Naomba kujua please
2026-11-23 11:44:09
0
mamalove_14
mamalove :
yaani nnavyo tamani kujua kupika vtumbua
2026-11-19 13:31:28
1
user27078806363675
Mrs😘Z💞💞 :
kwahyo siyo lazima kupika ule uji wasembe
2026-11-22 15:13:20
0
maryam.magram1
Maryam Magram :
uko wapi dear?
2026-11-24 12:55:39
0
officialneylin8
Officilalneylin❤️💍 :
Mashallah👌🏻
2026-11-20 18:36:26
0
mwka290
𝒖𝒎𝒎 𝒏𝒂𝒋𝒖𝒔𝒉🥰😘 :
𝒚𝒖𝒎𝒎𝒚
2026-11-20 12:04:01
0
user5579216009075
Queen N :
MaashaAllah
2026-11-19 07:42:48
0
mudakiungo2
Mudakiungo27 :
Mashllh ❤️
2026-11-19 08:24:10
0
babydrama01_
mom haris🥰 :
mchele unaloweka kwanz au
2026-11-25 07:22:49
0
habbitysada
mamitho habbity collection :
nishameza mate
2026-11-19 15:08:44
0
queenmarosha21
Roshaphia💕 :
Mashalllah🥰🥰
2026-11-19 12:36:38
0
mama.hannan1
Mama Hannan :
kitu roho inapendaaa🥰🥰🥰🥰
2026-11-19 09:18:12
0
nayla9821gmail.com
Nayla😍 :
Mashallah 😍😍😍
2026-11-19 06:03:14
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About