@mr_mangapi: TATIZO SIO IMANI TATIZO NI "MENTALITY" 💫 Mtu akitaja mababu zetu, tunaambiwa ni mizimu, ni giza, ni laana. Lakini tunaposoma habari za Ibrahimu, Isaka na Yakobo, tunawaita baba wa imani, tunajifunza historia yao na tunaheshimu kila kitu kinachohusiana nao. Kwa nini historia ya kwetu tuiogope, lakini historia ya watu wengine tuiheshimu? Kwa nini tunadhani kila kitu cha kwetu ni cha kishirikina, lakini kila kitu cha kwao ni cha kiroho? Tatizo si imani, tatizo ni MENTALITY. Tumefundishwa kujiona duni kiasi kwamba tunadhani kila kitu cha kwetu ni kibaya na kila kitu cha watu wengine ni bora. Hii si kutetea ushirikina, bali ni kuhoji mfumo wa fikra unaotufanya tujichukie, tudharau asili yetu na kuamini kwamba hatuwezi kuwa na utambulisho wetu ndani ya imani. Mkristo anahitaji imani, lakini pia anahitaji ufahamu. Usikubali kuamini kila kitu bila kujiuliza, kuchunguza na kuelewa..... KWAHIYO: TUSIPOTEZE UTAMBULISHO WETU KWA KISINGIZIO CHA IMANI. KINGDOM PLATE | FIKRA SAFIRI 💫 Unataka Ushauri au Mentorship Unaweza Ukawasiliana nami kupitia Whatsapp No +255 719 260 104 — Mr Mangapi....✍🏼 #flypシ #tanzaniatiktok #trendingvideo #videoviral #tanzaniantiktok🇹🇿
𝗠𝗥 𝗠𝗔𝗡𝗚𝗔𝗣𝗜
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 06:26:35 GMT
Music
Download
Comments
pandawandigwa :
Watu wameanza kuamka,
Kanisa ni biashara ya mtu
2026-11-20 04:51:54
61
🇰🇪inneos🇳🇱 :
Naona awakening Kila kona......Kuna mtu haelewi kinachoendelea
2026-11-19 22:22:05
26
Uzazi junction :
soma biblia mzee
2026-11-21 12:17:05
0
ClinicianRadiographer🦴🫁🧠👀 :
sisi wakatoliki lazima tutembelee makaburi
2026-11-20 05:27:14
6
Chris :
Huyu ndiye mwalimu wa kweli kabisa.
2026-11-20 04:56:16
35
mshanga eric :
haya sasa ukisema kweli utaambiwa unaroho chafu ndani yako ,hapo uko sahihi 100pasent
2026-11-19 08:35:48
25
Samora@12 :
naona tunaanza kujielewa sasa maana wamejazwa ujinga sana kujikana asili yetu
2026-11-19 10:53:02
11
KingD 👑👑👑 :
ukweli niukwel tu ila ukisema ukweli unaonekana unapotosha watu
2026-11-19 16:11:14
12
Cynthia mose :
Pure awakening. The God of my forefathers Mogiri,Nyagisere n Nyabera.
2026-11-21 13:15:48
1
captain kago :
the awakening in africa is on another level
2026-11-19 18:46:50
0
Kala Mzuluvendi :
Sasa mbona hatuna vitabu vyetu vya dini sasa tutajuaje baraka kutoka kwa babu zetu
2026-11-20 06:56:00
4
Ng'homi Walaga :
hapo umenikosha sana
2026-11-21 04:24:47
4
waliera 004 :
am confused ama?
2026-11-20 14:54:49
0
Holyfield Mutunga :
wapi kati ka history babu yangu ameandikwa kwa bible
2026-11-20 12:03:57
0
james mfugz :
Wewe ni mchungaji wa kweli
2026-11-19 16:28:54
8
MKUSHI 🧉 :
SHIDA NI MIMI - THE PROBLEM IS MEE 🤔
2026-11-20 07:14:30
0
user2098070353874 :
Nachompendeaga Daniel mgogo Anasimsisima kwenye ukweli
2026-11-19 12:27:08
8
Pendo Faustin :
😁😁😁😁,waaaao,nielimu,tuuuu
2026-11-21 17:34:57
1
user1462913303684 :
Mimi sina hata paka😅😂🤣🤣
2026-11-19 17:37:24
4
@twiga :
nikweli
2026-11-19 14:03:52
4
saved :
Mababu zetu waliamini sana kufanya tambiko kwa mizimu ati wanaongea hata na waliokufa. Tufuate mizimu au Mungu?
2026-11-21 17:41:28
1
BUNI _ViSUAL_ARTS :
wanakuamsha upambane
2026-11-19 10:45:25
4
Audex Herman :
hapo sasa umeongea mchungaji wangu mzuri mweeeeee
2026-11-20 03:17:30
1
user61894572549 :
hakika umenenaaaa😘😘
2026-11-20 11:29:57
3
Shenye Lugiko :
jamaa yuko vizuri
2026-11-19 19:35:54
4
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm
homepage.