@mwl.magodajr: TUJITAFAKARI SANA SHARE UJUMBE WA ELIMU UFIKE MBALI .

mwl.magodajr
mwl.magodajr
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 07:02:41 GMT
44089
1790
397
306

Music

Download

Comments

saida.foum
Saida Foum :
wanataka wawabake tu hao watoto
2026-11-19 10:49:59
45
swaumomary6
swaum :
Mm ata la sabaa hakaii
2026-11-19 09:52:22
29
kitulatina
tinakitula :
walimu wanapenda hela tu ,ingekuwa ni bure wangekataa lakini malipo na wenyewe wanapata,wametuchosha kwakweli
2026-11-19 10:04:02
43
ruqaiya040
Aisha💦 :
Private baadhi msijitetee mnatuharibia watoto, kwanini muwaoneshe majibu ya mitihani?
2026-11-19 13:26:55
7
handsofyasmi
yasmi :
wanataka matokeo ila wanawaumiza kiakili tulisoma na tulitoka saa nane
2026-11-19 08:47:20
15
mwalimuwawasusitanzania
MWALIMU WAWASUSITANZANIA :
Africa Africa Africa Africa tunashidasana
2026-11-19 16:00:52
0
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
Serikali ikemee hata boding za dalasa la sabaa hazifaiii
2026-11-19 15:42:48
4
nitocreative
Nito Creative :
Mimi mwanangu alianza likizo toka alivyomaliza mtihani wa taifa wa darasa la 4 [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 11:10:18
8
nasramsangi120
nasramsangi120 :
asiependa mwanae aende c abaki nyumbani kwani shida iko wapi.
2026-11-19 10:13:24
8
mwitajacob3
murumbasi :
ni Tanzania pekeee ndo Ina hizo issue kwa east Africa za mara darasa la mtihani linatakiwa kuwa hostel, kwa lazma. the issue is simple waalimu wanastress za kutokuwa na Hela, sooo inabidi atengeneze extra classes ili wapate Hela. coz anadaiwa na bank, microfinances, vicoba & watu binafsi
2026-11-19 12:35:03
6
noor_eyes1
noor :
mie nilikaa kenya hamna mambo ya ajabu kama haya.
2026-11-19 14:17:26
1
judymwacha
judymwacha :
boarding zianzie secondary
2026-11-19 16:55:23
0
happinessdickson6
~Happipie~🦋🥰🤎 :
watu wanataka matokeo ya shule sio ya mtoto mmoja mmoja private sector wako sahihi bwana ndio maana private sector wanaongoza na wataongoza always
2026-11-19 07:45:30
8
neema.opanga
neema opanga :
Mimi wangu hatokaa Boarding, bora aishie la tatu tu kwakweli, huko ni kututesea watoto, watoto wanakuwa kama wanajeshi vile
2026-11-19 11:41:34
9
caliara93
Caliara :
That's true bro 👏
2026-11-19 13:13:08
0
aikammari
mama J collection :
serikali ipige marufuku hizi shule jamani
2026-11-19 09:47:19
11
july_matemba
July Matemba :
Naomba nifafanulie kwa hawa wa nao maliza la sıta mwakani watapangiwa shule za secondary Kama watakaomaliza lasaba maana maneno ni mengi sana
2026-11-19 08:25:43
5
user94839652413446
saphy @ :
Nakupenda sana mwalimu!! Uko na akili mingi sana sana!!
2026-11-19 13:05:28
7
godfreyngowo
NG’OWO PREMIER :
Ila kuna pia watoto majumbani pia wanaadopt mambo mengi pia ambayo yanawachanganya watoto, mfano wazazi kugombana au kujibizana mbele ya watoto, kucheza cheza ovyo ovyo mitaani badala ya kusoma, mambo ni mengi mtaani kuliko akiwa boarding, wazazi acheni kukwepa gharama za elimu
2026-11-19 14:40:44
2
alhamndulilah4everything
2026 :
tuacheni bhn walimu tukale wapi
2026-11-19 14:23:25
4
saxo955
Super Saxo :
Katiba mpya inaitajika
2026-11-19 13:20:11
1
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
Hata la saba haifaiiii
2026-11-19 15:41:42
1
jacklinearnold27
jacklinearnold27 :
wanatka ela kuwachosha tu watoto
2026-11-19 15:01:51
2
ayraali94
aziza :
Yan me mpka mtoto wangu kakonda masomo gan haya
2026-11-19 15:42:31
2
To see more videos from user @mwl.magodajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About