@fari___24_: CHANZO CHA KUBADILI RANGI YA MWILI WAKE MICHAEL JACKSON Michael Jackson alikuwa na asili ya Kiafrika, licha ya kuzaliwa Marekani. Alizaliwa mwaka 1958 huko Gary, Indiana, katika familia ya {Africa -Americani} Watu wengi walidhani alitaka kuwa mzungu, lakini ukweli upo hivi. Michael Jackson alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Vitiligo, ambao husababisha ngozi kupoteza rangi yake ya asili na kutengeneza mabaka meupe. Mwaka 1993, aliamua kuzungumzia hali hiyo hadharani katika mahojiano na Oprah Winfrey. Baadaye alitumia vipodozi na matibabu kusaidia kufanya rangi ya ngozi yake ionekane sawa. Ukweli huu ulithibitishwa pia katika ripoti ya uchunguzi wa mwili wake baada ya kifo chake mwaka 2009. script by rastafari_tee #tiktoknews #trendingvideo #mj #viraltiktok #script

✦𝐅𝐀𝐑𝐈___24
✦𝐅𝐀𝐑𝐈___24
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 07:19:40 GMT
7333
328
1
3

Music

Download

Comments

khanboe24lyfe
Kamuzuh2124 :
🔥🔥🔥
2026-11-19 10:44:55
0
To see more videos from user @fari___24_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About