@millardayo_: Hivi unacheza upatu ? Fahamu kuwa kuna Sheria ya mchezo huo ambapo ukipatikana na hatia, adhabu yake ni faini isiyopungua shilingi milioni tano, kifungo cha miaka mitano jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. Akifafanua kisheria, Wakili Henry Mwinuka amesema mchezo huo ni haramu kisheria nchini Tanzania, akieleza kuwa Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, inakataza shughuli zinazohusisha mfumo huo. Aidha, ametaja Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 pamoja na Sheria zinazohusiana na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA). “Bila kumung’unya maneno, mchezo wa upatu hauna uhalali wake, ni haramu,” amesema Mwinuka. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 08:28:32 GMT
Music
Download
Comments
rose🌹🫶 :
wee subiri kwanza nipokee hela yangu
2026-11-19 08:38:33
221
Singah :
watanzania wenzangu nina ushauri kidogo naomba tuipeleke nchi yetu kwa mganga 😂😂😂
2026-11-19 09:10:16
119
swiyamu1 :
Me kama kijumbe nimejitoa sina deni
2026-11-19 08:57:53
46
faridaoutfits🦋 :
mngeshuhurikia sheria za kuachia conection
2026-11-19 09:14:52
31
sania cosmetic :
mtuache jamani kukopa bank atuwezi atuna uwezo wa kulipa, kijumbe wangu hata ukiona huu ujumbe naomba usiache mchezo
2026-11-19 09:37:09
18
BINA FRESH JUICE🍹 :
ikatazeni jamani iyo michezo mi nishapokea jina la kwanza teyari 🤣🤣
2026-11-19 10:19:54
20
Mazamodric🥰 :
Baba ona mwenyew wanataka kutupangia kwenye ela Zetu
2026-11-19 09:18:42
23
I AM ♈️ :
kwisha mimi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 10:20:35
0
trikaillaa🇹🇿+255 :
SUBIRINIII KWANZA NIPOKEEEE PESA ZANGU JAMAN
2026-11-19 10:31:07
10
Miss Dior💦♎️ :
Mutuachee tucheezee ela zetu
2026-11-19 10:12:39
0
yusta wa simba :
mbona kma ntazurumiwa jamani ii kijumbe asiione jamani kwisha mimi🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 11:23:23
4
R.theo21 🕋♥️ :
pesa yangu alaf mnipangie
2026-11-19 09:56:40
6
Jamila ♥️💕 :
yaani nimeamua kuichezea ela yangu nyie kinawawasha nn[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-19 10:11:11
0
Mzee kijana8 :
acheni kufatiloq mambo ya watu jaman wengne uwezo wa kutunza ela hatuna so tunafanya vile ni kama kuwekeza kwa mda sasa unatka tufanye nn?
2026-11-19 08:37:15
6
shipapy sophie :
Msitupangie mnatak tuweke bank mlipe deni la taifa
2026-11-19 09:53:31
7
Reycious 🦋 :
Mshachelewa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 10:46:27
1
heaven baby👶 :
wakati tupo Shule mwalim akitukuta tuna cheza mchezo anazichukua ela zetu na huku Tena utuache jmn
2026-11-19 12:00:26
1
Emmy collection🛍️ :
Upatu ni mchezo gani kwanza nijue
2026-11-19 09:27:04
0
Angel Mazola :
Hamuwezi amini Kuna kijumbe alinitapeli laki 9 na 50 Toka mwezi wa 3 Mwaka huu cna hamu na michezo aki ya Mungu🥹🥹🥹
2026-11-19 09:50:57
1
hadasah273 :
Upatu ni nini tena wajameni ?😳
2026-11-19 09:41:44
0
Rita Simwimba :
Sasa kama anapata kwa nn mnatuingilia jamani NYIE MNAJUA maisha yetu
2026-11-19 10:22:38
2
Vanilla :
Upatu ninini in swahil ??
2026-11-19 08:34:50
0
🥰🥰 :
msitupangie maishaa tafadhari
2026-11-19 10:04:50
0
kida gaten :
Tuanzie hapa UPATU ni nini?
2026-11-19 14:12:15
0
Garden lover ❤️🇹🇿 :
Unataka kufanya walipokea wasitulipe ti 😳
2026-11-19 12:12:59
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.