@esko_donald: Tunafuraha kuwapa taarifa kuhusu Aziza, muda huu yupo njiani akielekea Dodoma (UDOM), na atakapofika atapokelewa na kufanyiwa usajili. Lakini pia, tuna habari kubwa zaidi, kuna Mwana-Umbrella ambaye amejitolea kumsomesha Azazi kwa muda wa miaka yote mitatu atakapokuwa UDOM. Tumefurahi sana, hakika #TheUmbrella furaha yetu ni kuona wanafurahi.

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 08:53:25 GMT
26946
4701
237
29

Music

Download

Comments

nickson0320
Nicky💎 :
Esko hunaga machozi mim hii kazi ningelia kila siku 🥹🥹🥹 swala la huyu binti tu kupata mfadhili machozi yamejaa machoni
2026-11-19 09:17:07
80
salmaseif314
Salma Seif :
vizuri[Heartwarming]
2026-11-25 14:11:47
0
radhya4060
Radhya :
jaman kwa nini tusimchangie mama yake
2026-11-19 10:08:49
36
abuushiraziy618
shiraziy :
kaka tunataka hyo mama nae asaidike aweze kupata kipato kikubwa cha kueza kujikimu kimaisha
2026-11-19 09:21:11
24
mohamedmtanzania0
mohamed mtanzania :
esko mm Toka jana nimekuomba namba nimchangie aziza
2026-11-19 09:32:57
9
sadam.issa97
Sadam Issa :
hao waserikali tusiwaamini sana , sisi pia tufanye jambo kumpigia pigia simu ni utumwa akiitaji chochote coz atakua anasubiri apigiwe aelezwe changamoto
2026-11-19 09:00:07
9
fine_boy011
𝓕𝓲𝓷𝓮 𝓫𝓸𝓮🩵🩵 :
hakuna kitu cha kujivunia kama kuwa sababu ya mtu kupata hitaj la moyo wake hasa pale anapofika e mbaya ya kukata tamaaa na kuona haaiwezekan tena
2026-11-19 13:21:08
8
chidione2
chidi one 1 :
pongez hizi ndio media tunazo hitaj ktk taifaaaa
2026-11-19 09:16:50
20
antipasrwesa
ANTIPAS RWESA :
cjawahi boeka coming to ur page Kila siku. I'm proud nikikupigia kura Kila siku🙏
2026-11-19 13:51:52
9
mwananchi123
mwananchi :
Esko, Mungu akubariki sana na kipindi chako hiki kinasaidia sana familia zenye chngamoto na hatimae zinatabasamu kupitia washiriki hongera sana🥰🥰🥰🥰
2026-11-19 10:08:54
8
user28065764094416
user2806576409441 :
good news for aziza and big thanks kwa kiongozi Allah am barikie yaa Rab ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-19 10:27:24
3
mamanaamikate
mama naa mikate :
Allah akulipe kheir kiongozi [Pray]
2026-11-19 09:18:01
6
fatuma.kapilima
Fatuma Kapilima :
mungu atawalipa inshaallah
2026-11-19 10:00:00
3
nicprecious5
nicprecious :
Mungu nimwema sana
2026-11-19 16:17:46
2
saadasaid50
saadasaid :
Asante mumgu, Esko usichoke na Mungu atakulipa
2026-11-19 13:51:50
2
tayana9425
Tayana :
Hongera sana kiongoz
2026-11-19 20:37:52
1
lius.chan0
Lius Chan :
Allah awalipe wote Amiin
2026-11-19 13:52:40
2
anethlanda5
Aneth Landa :
amina kaka
2026-11-19 10:11:57
0
abuushiraziy618
shiraziy :
alafu na penda esko hii kazi yko huchagui hubagui bora iwe ni mtu kweli ni mtu ambae anaitaji kusaidiwa hua wasaidia sawa ni muslamu sawa ni mcrsto hii yenu nimependa
2026-11-19 09:24:12
5
tausi.masumbuko4
Tausi Masumbuko :
Mungu azidi kumbariki sana Kiongozi🙏🙏 Kila la heri binti yetu🥰
2026-11-19 13:38:45
3
usafi_first
Lilian_Adolf :
Wawhooo[Happy][Happy] Mungu ni Mwema kila wakati
2026-11-19 09:59:14
3
user5773837804086
Sami :
mashallah kwa aliyejitolea kumsokesha,allah stamlipa
2026-11-20 00:45:25
1
athumanpe
athumanpeter :
kaka naomba nisaidie kaka elimu yangu
2026-11-19 20:43:50
1
rosesimon515
rujaina wa donyo :
amina
2026-11-19 16:19:25
1
bravejay11
Brave💪 Jay🔥 :
hakika mungu ni mwemaa sana🙏🙏
2026-11-20 18:42:06
1
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About