ndio maana tunakumbushwa kusali,au kuswali🙏🙏hii husaidia sana kututea na hayoo tusiyokumbuka kuyafanya🙏
2026-11-19 09:50:01
6
MAMY CASH POINT :
Ni allah tu pekee ndio mlinzi wa kweli ss hatuwezi
2026-11-19 16:59:29
3
ASIYEJITAMBUA :
bwana wee kila mtu atakufa
2026-11-19 18:01:34
0
honest lbby :
God bless you brother
2026-11-19 18:26:28
0
mama Vitalis🧚 :
Mungu ndy anajuwa tunasali inatosha ss kilakitu ni kibaya jaman vingine hatukumbuki ila maombi ni tosha to..
2026-11-19 18:29:40
1
official demba boy :
nilienda Kwa mtaalamu niliambiwa kuwa Kuna kivuli kina nifwatilia
nawezaje kukiepuka maana ina nifanyà niwe vile vile tu Kila siku nisipige hatua mbele
2026-11-19 11:28:43
0
Kisman💥🔐 :
Unatupangia maisha 😂😂
2026-11-19 09:09:52
2
Rhobina Raphaelyp :
hizo ni imani haba,
2026-11-19 20:20:20
0
Jacques Dol :
Uwa silliness mpaka nifagie sideki nyumba yote tena wakati mwingine mpaka saa sita usiku mwaka wa 20 sasa na hatuumwi tumebarikiwa hatujawahi hata kukusa chochote Fagio dekio siweki ndani ngooo achane believe za kizamani Tumefunikwa na DAMU YA YESU
2026-11-19 17:06:15
0
@NYANGOMA🗯 :
Asante kaka kwa ushauri
2026-11-19 18:06:29
0
ngi swamy💋💋 :
mbona inakataa kuendelea jamani
2026-11-19 15:37:33
0
Zia bella😍 :
Yan kila mtu tiktok n mhenga ..
2026-11-19 18:20:43
0
aishamsemwa548 :
Niliwahi pita karibu na msikiti flani alooooh nilisikia kizunguzungu balaa
2026-11-19 16:19:17
0
zainabuleonard310 :
bora nisione maana umaweza geuka chizi ukiona kila kitu, acha mungu aone kwa ajili yangu na ameahidi kunilinda
2026-11-19 15:33:44
0
fine💕 girl :
wew malume wew mmh unashauli watu ambayo hawaamini mungu na hawafanyi maombi?? kwann mpka niamini hivyo☺️☺️