Mnabahati wenye baby girl🥺 mi wangu wanaendaga saloon na baba ake kunyoa
2026-11-19 13:42:44
36
MLUGULU OG :
ngoja nije na mwanangu wa kambo nije nisuke nae mama ake aone wivu mana kaja kumwachia mwanaume wangu mtoto wa mwaka na nusu na mimi ntamlea akuna shida mangali nimempenda baba ake nitampenda na mtoto daima🥰
2026-11-19 14:48:58
116
Ms miracle 💜 :
mwaka na miez3 anasuka
2026-11-19 13:22:03
0
Mindful Scholars Nursery :
mtoto kapendeza kuliko mama🥰, mlete shuleni kwetu
2026-11-19 13:50:30
39
Anna cute💛🤎💜 :
wow mmebaruza
2026-11-19 22:06:00
1
mspink80 :
Wamependez sana
2026-11-19 10:49:26
32
@ESTER#56 :
shingp
2026-11-19 09:04:33
39
@Itz_me🧚♀️🇹🇿 :
Mm mwanang akisuka hii kesho mnamfumua [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 11:25:22
0
cute babyser3626086077923 :
last gan iy
2026-11-19 09:49:26
9
Desginah❣️ :
loh ume niwa nilitaka suka na mwanangu😂😂😂
2026-11-19 10:05:21
7
it's viola😜 :
10/10
2026-11-19 11:21:10
1
Mrs fasho😊 :
Mwaka na nusu hanasuka
2026-11-19 17:45:45
1
mom ummy 🥰🥰🥰 :
na mtot nae
2026-11-19 20:23:54
1
💞🦋Pinkllah💞🦋 :
Ni wap jmn naomben namb
2026-11-19 09:47:25
9
lee_luxe24 :
Nakuja
2026-11-19 18:56:52
1
phinah💖 :
Ningekua na mtoto wa kike tungekuja kusuka wote
2026-11-19 11:07:12
13
Jemima beauty :
Umebaruza vipi kipenzi changu🥰🥰👌
2026-11-19 20:38:26
0
NaaE :
wamependeza sanaa
2026-11-19 15:25:50
0
Haika 🥰😍 :
adi raha mungu npe wa kike
2026-11-19 18:07:06
1
lispeter gadgets :
Nywele fupi zinafaa?
2026-11-19 19:20:20
1
izzyb🦋 :
bunda ngapi
2026-11-19 20:38:58
0
jamila :
rasita inaitwaj
2026-11-19 19:23:50
0
Marie❤️ :
mtoto kapendeza zaidi🥰
2026-11-19 16:01:00
3
Miss endependent ♥️ :
Rasta gani hiyo jamani
2026-11-19 14:06:50
3
linaĥ :
nikajua paula na Amara
2026-11-19 19:23:12
1
To see more videos from user @kajoor_beauty_saloon, please go to the Tikwm
homepage.