@mgana_03: Anaitwa sayyid Abdallah Shah huyu sheikh alikuwa anapatikana Nairobi nchini Kenya.. sayyid Abdallah shah hakuwahi kuowa ila alikuwa na wanafunzi wengi ambao alikuwa akiwalea na akiwafundisha dini kuna baadhi ya watu walikuwa wakimuuliza sayyid mbona huowi na hauna mtoto majibu yake aliyokuwa akijibu ni kwamba nitakapo owa elimu yangu itakuwa na wivu sana na kama watoto nyie ni watoto zangu.. karama zake ; kuna siku moja sayyidd Muhamma al MAARUFU mdogo alikuwa amenda kumtembelea kwenye maulid alikuwa pia yupo sayyid Abdallah shah .. sayyid Abdallah shah alipomuona sayyid Muhammad MAARUFU alifurahi sana kisha akaanza kumwambia kuwa yeye ni nani na ametokea wapi na ana anatakiwa kufanya nini sayyid Abdallah shah alionyesha karama nyingi mpaka ikapelekea wengine waliokuwa kwenye hilo eneo wakiwa wanaumwa.. kifo chake ; katika kipindi cha mwisho wa umri wake sayyid Abdallah shah aliwaaga wanafunzi wake kuwa anaondoka anataka kurudi madina walipomuuliza wanafunzi akasema ninahitaji kufa na kuwa karibu pale ambapo babu yangu amekufa ili niwe nae karibu yaan anahitaji kuzikwa katika mji ama katika ardhi ambayo Mtume Muhammad s.a.w amezikwa. wanafunzi walimbembeleza na akabakia ila aliwaambia pindi nitakapo kufa ninaomba mnipeleke nikazikwe macca basi sayyid Abdallah shah alipofariki walimsafirisha na amezikwa Jannat Baqii yaan kaburi la huyu sheikh lipo karibu na kaburi la swahaba wa mtume othman ibn hafan R.A . Allah azidi tia nuru kaburi lake na kwa baraka zake basi atufungulia vifua vyetu na avijaze Nuru Amiin
Maashhallah safi sana nime penda utoaji wako post sio kama wengine wana post tu wana andika huyu ni walii alafu hawatoi histori yake hata kwa ufupi mm huwaga wana ni udhi
2026-11-19 13:48:08
3
Trader_Nas :
leta historia ya Shekh SERO tupate chimbuko la elimu
2026-11-20 20:55:18
1
mussambaraka :
Allah Allah Allah
2026-11-21 08:48:12
0
Ally Salim :
Masha Allah
2026-11-20 15:39:13
2
Akili 2 Uwesu :
wanatwarikaa
2026-11-19 12:32:37
1
jokhra :
ameen
2026-11-19 12:14:05
2
Mo Dollars31 :
Lailaha illa allah allahumma sali ala muhammad, swallahu aleymu wa swalimu❤️❤️❤️♥️♥️
2026-11-19 21:23:54
1
Tanzania homemade furnit 🇹🇿 :
ALLAH SUBHANA
2026-11-19 22:11:27
0
salimnkome :
amina
2026-11-20 08:18:03
0
dr_gilan_hijama_therapist :
ALLAHUMMA AAMIIN
2026-11-19 15:08:10
1
ayesha🧚♀️ :
Allahumma ameen
2026-11-19 09:51:11
1
Alimtoto :
amni
2026-11-19 16:26:39
1
triple A :
amin🥰
2026-11-19 21:33:23
1
Abuu maujude :
mashallah
2026-11-19 18:03:27
0
HUSSEIN MAKAME :
Allahumma amiin🥺🥺🥺
2026-11-19 09:42:07
1
daruwesh dube :
لا إله إلا الله
2026-11-19 11:40:25
1
Mo Dollars31 :
Lailaha illa anta subhaka inn kuntu minazwalimin
2026-11-19 21:25:06
0
Manitu 👍 :
👏
2026-11-20 05:00:41
1
Abdalla kageta :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-19 19:37:30
1
tech_vision.tz :
🥰
2026-11-19 16:20:46
1
Doctor👨💻🩺💊💉🩸 :
🥺
2026-11-20 15:31:36
1
Bambichi Tz Batazar :
🥰🥰🥰
2026-11-20 04:00:55
0
aisha :
❤️❤️❤️
2026-11-20 05:38:54
0
Moussa Kayemba :
[Cœur rouge][Cœur rouge][Cœur rouge]
2026-11-19 20:31:21
0
Bachaa 🙃🙃 :
🥰🥰🥰
2026-11-19 14:09:05
0
To see more videos from user @mgana_03, please go to the Tikwm
homepage.