huo ufala nilishafanyaga siku nimestuka wakasema nimepagawa pepo🤣
2026-11-19 16:51:09
48
Rose Gesare Nyagaka :
kitu Sawa hajaona hii
2026-11-21 05:46:48
11
hutson :
watu wasichojua ni kwamba hakuna mwanadamu anaweza fanya kazi ya Mungu never
2026-11-20 05:17:14
39
Emmanuel Lukas :
mbn kama mchungaji umekosea tena umekosea sana
2026-11-21 07:28:59
5
MamaD :
wakatoliki tunasali masaa mawili tumemaliza
2026-11-20 06:14:38
11
Shen Kuncho :
uyu ndio mchungaji pekee alie ELIMIKA katika haraka ya KUWAELIMISHA wengine✊✊✊
2026-11-20 10:16:06
21
Wairimu Gitau :
A true pastor be blessed
2026-11-22 10:10:44
0
sm :
ukweli mchungu ambao watu hawataki kuusikia
2026-11-19 12:23:32
22
Safari Costantine 💫 :
Kanisani siendi na nimeshiba na kunawili na pesa ninayo na kunawili nimenawili kanisani nafata nini 🤣🤣🤣
2026-11-19 21:48:01
7
Faustin Msuluzya :
daah umenitoa usingizini
2026-11-19 20:09:23
6
blaise ndaje :
O like this
2026-11-22 09:02:11
0
user kurwa mpemba ❣️❣️ :
nilikuwa naimba kwaya ila ikifika sare sina hela wanasema katafute kazi nimepata kazi sipatikan kwenye mazoezi ila sasa qanavyonisema mpaka nashangaa wakati hata mwenyekiti hapatikan kwenye mazoezi why me
2026-11-19 18:51:31
9
bolinga :
true tell them
2026-11-21 13:56:50
3
user6437137461669 :
Ubarikiwe mtumishi
2026-11-22 12:50:30
2
Agnes.mazia :
ni kweli pastor
2026-11-22 13:42:04
1
Leonard Paul :
That's true
2026-11-21 07:37:28
2
Jansyk :
ikiwa ni hivyo wote wanafanya Kwa madhabau walipwe basi
2026-11-22 15:56:39
1
yve :
kikikiieee
2026-11-22 03:22:33
1
CREATIVE ALUMINIUM AND GLASS :
hahahaha 😆 😂 😆 😂
2026-11-21 17:23:07
1
Mashaka Malamula :
next
2026-11-22 12:19:53
1
Fatuma Katana :
kweli kabisa
2026-11-22 08:45:53
1
Mercy Grace :
ukweli usemwe
2026-11-21 19:04:17
2
Mutswanga Josué :
aminaeeeee
2026-11-22 11:41:10
1
user94439220563772 :
True
2026-11-21 12:48:09
1
akim :
amina pasta
2026-11-21 19:49:36
1
To see more videos from user @maombiabdiel.tz, please go to the Tikwm
homepage.