@zeriarichmom:

ZERIA RICH MOM
ZERIA RICH MOM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 09:36:16 GMT
13965
803
24
42

Music

Download

Comments

amando049
a m a n d o tz :
ukipata pesa majukumu ndo yanaongezeka
2026-11-19 12:34:27
17
harveymimi
harveymimi :
ndo motivation speaker mnao wanataka
2026-11-19 13:59:02
2
user9415521723696
Miss Erica 💋 :
usijali Mimi sitakuangusha mama🤣
2026-11-19 17:27:27
3
shinegmail.co1
Ney🍭 :
Yani leo nimeingia tiktok ndio point ya maana nilio faidi tu 🥰
2026-11-19 12:09:45
12
costansiasanga659
Costansia Sanga :
chakula kizuri ni kipi wapendwa?
2026-11-19 16:07:55
2
magodoro.bei.rahis
Alpenza Home And More..... :
hivi wee unajua dagaa wa kukaanga na chumvi bila mafuta walivyo watamu? tena acha nikawatafute saizi,mimi hata niwe na pesa kiasi gani siachi kula vitu ninavyopenda eti sababu ni cheap
2026-11-19 15:14:01
3
user7248123023581
mchuma safi :
kwel nipe kazi dada angu
2026-11-19 10:16:03
3
user0683330360
Eliyamhimba :
mimi sibadishi maisha sisi wakinga hatujukani
2026-11-19 16:52:40
1
fotuma2
fotuma :
dada usinisahau umeniahidi kwenye semina
2026-11-19 13:51:32
2
jackline.jackline37
Jackline Jackline :
Hapo kwenye kila napapenda
2026-11-19 14:06:09
1
major_2579
Kiddie :
Ugali dagaa ni chakula kibaya🤣🤣
2026-11-19 13:28:47
1
faidhatijuma
FaidhatiJuma :
Umenena dada lazim ninunue gari kabl mwak kuish
2026-11-19 13:21:44
1
aginesisamsoni
Aginesi Samsoni :
kabisa
2026-11-19 11:38:43
2
dorca075z
@dorca075 :
kula ni lazima hayo ni maisha ya kushindana gari maguokusuka siwezi hizo sitarehe hutoboi 😁😁😁
2026-11-19 16:43:39
0
makuburi0
makuburi :
ila umenikosha kweli
2026-11-19 17:19:24
0
jj.kids2
Jj kids😍😇 :
umeongea point
2026-11-19 17:09:43
0
tumainikitomari
bosslady😍🥰 :
kwa kweli nimekataa mambo ya Zaman yaliyontesa yajirudie this time
2026-11-19 13:23:11
1
saadamussa369
saadamussa369 :
sawa nasubiri unifundishe ile biashara nami nibadilike jamani maana
2026-11-19 13:18:00
3
johnnynyondo
|Son ⭕️f Man| :
😂😂 Sasa ubaya wa ugali na dagaa uko wapi 😂 mbona ugali utaliwa na unaliwa na kila mtu. Na dagaa wanatupatia madini chuma na joto sasa kwamba ugali sio dagaa sio chakula kizuri. Anyway vijana niongezee kitu ukianza kupata pesa start to prepare your “retirement” Ahsante.
2026-11-19 17:48:23
1
hezbaltazar
chinga :
mbona we hujasuka hapo na una pesa[Tears of joy]
2026-11-19 16:43:38
1
anordy.www
ANORDY WWW :
🥰🥰🥰
2026-11-19 11:11:19
1
To see more videos from user @zeriarichmom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About