@yetudigitalmedia0: EMOTIONS RUN HIGH AS FAMILIES OF ABDUCTED YOUTHS SEEK JUSTICE OUTSIDE MOMBASA LAW COURTS. Families of youths allegedly abducted in Mombasa County were overwhelmed with emotions as they gathered outside the Mombasa Law Courts, demanding justice and answers over the disappearance of their loved ones.
YETU DIGITAL MEDIA
Region: KE
Thursday 19 November 2026 10:01:22 GMT
Music
Download
Comments
caroli auto parts :
Vijana mueche shortcut ya life munaumiza sanaa wazazi.
2026-11-19 12:27:09
43
quite amtaf :
mzee analia hvi mwaona kawaida tu wallahi shida hazitaisha mzee akilia hvi wallahi tutalia zaidi
2026-11-19 11:01:04
86
Robin GAS - SGT :
Pia mbebe familia za raia walioumizwa na hawa vijana
2026-11-19 10:41:53
77
BACHO Boy 002 :
kwa maisha yangu sitawahi umiza moyo wa mzazi wangu
2026-11-19 10:52:53
39
Abdizo M :
vijana wenzangu emu tujaribu kujituma basi Wallahi tunawapa wazazi maumivu sana
2026-11-19 14:32:11
6
༺🤗Leͥgeͣnͫd🤗༻ :
simutuelze kinachoendelea mukitulilia tunaelewa nn 😳
2026-11-19 11:27:51
6
user1760353782203 :
mmmh kwa kuwa sasa limekuja kwako sikia uchungu kma wenzio wanavyo sikia na mafamili zao
2026-11-19 11:34:45
13
Fatma Ahmed :
it's really painful Kwa mzazi Allah atupe subra jamenii
2026-11-19 10:49:37
6
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
huyu ni mzazi wamtu yualia namna hini 😩😩😩😩😩 sihaki jamani
2026-11-19 10:49:02
25
rashmmy.peni :
Ya allah teremsha kheri na utulivu ktk mji wetu wa msa yarabi
2026-11-19 11:31:37
9
Igzabieher :
mijitu ya pwani imekaliwa sana sana sana
2026-11-19 10:06:27
18
hilwatty :
Hii ni issue ya panga boys kuuliwa na polisi au wale vijana wenye kupotezwa tu bila sababu sielewi maana
2026-11-19 11:29:22
5
It's Muna :
subhallah Mzee amwaga machozi na mna hii mwenyezi mungu ataleta sahali inshallah inauma walai
2026-11-19 11:23:45
17
VectorFlicks :
hat happened to him
2026-11-19 14:37:43
0
softsoul :
you really made me cry😭😭
2026-11-19 13:26:56
1
Priscilla Chan :
please don't take elderly people to such places..they'll end up with high bp
2026-11-19 11:31:02
5
manga :
Mtu mzima akilia ujue kuna jambo
2026-11-19 11:38:58
5
sephy :
poleni
2026-11-19 14:20:38
0
user8739914693523sinajipyaa :
kamammmuzazinimeumiasanakumonamzazimwezanguakitowacĥozi
2026-11-19 14:41:22
0
MR SAM :
Wengine wakatiwa mapanga hamulii 😢😢😢😢
2026-11-19 12:03:27
1
Tik Toker :
pole baba inauma sna mwanaume sio rahis kulia hta kumuona analia mtihani kwa kweli
2026-11-19 13:01:16
1
user8617051670928 :
kuna nini sijaelewa mm 😭😭
2026-11-19 11:03:01
3
𝕝𝕠𝕟𝕖 𝕨𝕠𝕝𝕗 :
hii na familia ya jamaa alietekwa nyara huko lamu but sio ya panga boys. I know this mzee personally
2026-11-19 12:46:41
3
Real warriors Ltd :
Na bado
2026-11-19 12:03:59
2
CHACHA RYMEZ :
wazazi ndioo wanaumiaa ni uchungu sana.. 😳😳😳
2026-11-19 14:24:21
1
To see more videos from user @yetudigitalmedia0, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.