@bura_bussnes: Lady's 🙄 #everyone #childhood #tredingreels #Bura #women

Bura Bussnes 🇹🇿
Bura Bussnes 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 10:04:07 GMT
41667
1078
277
111

Music

Download

Comments

user5745386885273
devotha maxwell :
mbona tuna Tiana presha jaman
2026-11-19 13:13:09
47
zai3052361695278
zay..☝️☝️☝️ :
ndo mjue mungu akipanga kitu hakuna pingamizi
2026-11-19 12:42:05
53
anna.lix8
a🥀nn🥀a :
carenda imenifanya naitwa mama wawili saiz 😅
2026-11-19 16:25:43
6
mamasamiry8
🅩🅐🅨🅝🅐🅑 :
p2 sina hamu nayo mm
2026-11-19 15:46:42
11
user1704470995687
user1704470995687 :
inawezekanaj jmn
2026-11-19 13:30:44
6
kile3an
Ms.Vee😇 :
au ulikua tayari umepata ndy ukaweka nambie ndio😊🥹
2026-11-19 16:53:10
3
zawadmotto
zawadimotto :
we dada em kuwa serious wengine tushakuwa kama kitmotooo uku 🤣🤣
2026-11-19 13:59:21
9
vee_karatu
Vee🦋 :
siwez kuamini yaliyonipata sina hamu mwaya ni hery nihesabu calendar
2026-11-19 15:54:50
6
irenethedonny
Irene Richard :
imenikuta hyo mwanangu akiwa ana miaz tisa tu sina ham nalea tumbo sasa
2026-11-19 12:58:49
10
jenifa.sanga4
nipha🦋🧡 :
mi carenda sina hamu
2026-11-19 14:06:43
8
user7702975263217
GREATER :
had nmecheka pole mwayaaa
2026-11-19 14:28:21
0
aminasadick03
Minah🥰 :
sa ndo nn jmniiii
2026-11-19 13:42:25
3
ummymukhlis60
UmmyMukhlis6 :
Oya Mbn unanitisha 🥺
2026-11-19 15:36:39
0
marssilaj
Mrs kigufa :
kilikua kimeisha muda wake
2026-11-19 13:13:18
5
baezalty
@bae-zalty :
weeee mbona unanitisha😂😂😂
2026-11-19 16:05:29
1
pili_julius
pili_julius :
Mm siamini hadi yanikute maana Ndio njia yang kuu na haijawai kunisaliti[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 16:21:18
1
pudesiana.kasaver
Pudesiana Kasaveri :
mimi calendahapana
2026-11-19 16:27:25
0
nyanchama272
Verah nyar kisii❤️🇰🇪🇸🇦 :
ya 5 yrs 😂😂💔
2026-11-19 16:23:11
0
not_sl3v
✨kim✨ :
Cjawah weka kijiti wala kutumy p2 wala kutumia kinga wala kujalibu kutoa mimba kwa njia yoyote na cjawah pata mimba hta ya bahat mbay
2026-11-19 16:19:25
0
mamu.cute64
Mwanike 💞 :
is not true 🤚hiyo inatokea ukiwa umebakisha miezi mitatu unatakiwa utoe kama hujatoa inakutokea hali kama iyoo
2026-11-19 16:11:51
2
user2081579617403
levina wa mbingu duniani :
mim natumiaga gogo maana njiti ainitoshi
2026-11-19 17:13:21
0
catherine_kweka
Catherine Kweka :
Ohooooo dudubai
2026-11-19 12:19:52
1
user1231141910587
altar :
heee wewe usiniambie km ni kweli inatokea na sababu ni nn jamani mama yangu
2026-11-19 16:06:43
1
babynice839
babynice :
p2
2026-11-19 13:46:03
1
hudaglab
asmaa :
nitakua natumia zote sasa kwa wakati mmoja 🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 14:00:57
4
To see more videos from user @bura_bussnes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About