@huncho_250: HDTV SPLITTER โ ONYESHA VITU VINGI KWA WAKATI MMOJA! ๐ฅ Unahitaji kuunganisha TV au Monitor zaidi ya moja na kuonyesha kitu kilekile kwenye screen zote kwa wakati mmoja? ๐ Tunakuletea HDTV Splitter, kifaa kinachokuwezesha kugawa signal ya HDMI kwenda kwenye TV au Monitor nyingi kwa wakati mmoja. โ
Inafaa majumbani, maofisini na kwenye biashara. โ
Inatumika kwenye maduka, madarasa na sehemu za matangazo. โ
Unaweza kuunganisha decoder, laptop, PS5 na vifaa vingine vya HDMI. โ
Picha moja inaonekana kwenye screens nyingi kwa wakati mmoja. ๐ฐ BEI ZETU: 2 IN 1 โ 20,000/= 4 IN 1 โ 30,000/= 8 IN 1 โ 80,000/= ๐ฅ Jumla na Reja Reja zinapatikana! ๐ LOCATION: Masasi na Likoma. ๐ PIGA SIMU / WHATSAPP: Huncho: 0623344923 Pam: 0787937383 #KitaaGadgets #HDMISplitter #HDTVSplitter #HDMI #TechGadgets
๐น๐๐๐๐ฆ๐ก ๐ช๐ ๐๐๐ฅ๐๐
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 10:16:22 GMT
Music
Download
Comments
Fredy Cosmetics dealer :
awesome ๐
2026-11-20 11:22:28
1
ALLY COM :
nahitaji 4 nipo mlandizi
2026-11-20 12:28:19
0
Mohamed Sungi :
cha Sauti Pekee unacho?
2026-11-20 08:20:55
1
LAZARO SEZA :
Nahitaji
2026-11-19 22:35:09
1
SABUNI_e_Services :
bei ya jumla ni sh ngapi?
2026-11-20 05:17:36
0
Leelema :
kwa maana hyo naweza kuwa nacho alafu kwa king'amuzi kimoja nikaonyesha hata game tatu tofauti??
2026-11-20 05:46:43
0
mr captain :
tv yangu haitumii flash, je Kuna kifaa mbadala naweza kutumia na tv yangu Haina remot, tv ni Hitachi nch43
2026-11-19 20:24:53
0
Muderspach School :
weka namba
2026-11-20 14:26:20
0
royalwedding_highlights2023 :
sio splinter ni splitter mkuu[Tears of joy]
2026-11-20 05:45:31
1
To see more videos from user @huncho_250, please go to the Tikwm
homepage.