@gospeldaily_: Kuna mambo ambayo hatuwezi kujivunia kwa uwezo wetu. Kuna milango tuliyofunguliwa, vita tulivyovushwa na nafasi tulizopata si kwa sababu tulikuwa bora kuliko wengine, bali kwa neema ya Mungu. Usiitumie neema uliyopewa kuwadharau wengine. Itumie kumtukuza Mungu. ❤️🙏 📖 1 Wakorintho 15:10 #Umenipendelea #NeemaGospel #NeemaYaMungu #GospelMusic #NenoLaMungu