@shaaban_b.omar: Tuelimishane #waislamunawakristo #biblia #koran #islamtiktok #diniyangu

Baba Haleema
Baba Haleema
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 11:33:33 GMT
9016
742
156
77

Music

Download

Comments

mwasaa.wiliam
FAITH CRESPO ✝️ :
Mbona unataja mashetani tena
2026-11-19 19:36:29
1
falconbus
RobyKivuyo :
haujajibu,
2026-11-19 12:56:38
2
user2487008128756
user2487008128756 :
Zaidi ya majibu ya Hassani Jaa, sijaona jibu hapo!!! Kwamfano hiyo ya kilimanjaro na usukuma umetaja majina ya mizimu kinyume kabisa na swali. umetumia ujanja zaidi ya uhalisia.
2026-11-19 14:06:27
4
jumakigoto
Juma Kigoto :
Kama ningeambiwa nikupe cheo basi ninekupa cheo Cha utume~ mwalimu uko vizuri sana unanihamashisha hata mimi kuanza kuuamini uislamu Kwa maana kwamba umenyooka ila watu wanakutupuka kwa Shana za uzushi. wabillah taufiq
2026-11-19 17:54:52
3
omarinurdin571
Omasco Bey :
maashaAllah my teacher ever❤❤❤ Allah akutunze na afya bora zaidi! Umekata shimbo!
2026-11-20 20:55:00
1
user2445855104611
Rose :
swali ni kwamba je Kuna jini john au jini la kikristo
2026-11-19 14:16:18
1
calvinforget
Calvin4get❤️ :
maana naona umetaja mapepo sio majini
2026-11-19 12:21:59
1
ambasha255
ambasha255 :
Allah akulinde
2026-11-20 13:34:46
1
ambar.nelly
Ambar nelly :
assalama alaykum baba halima katoto cha yesu anakusem uko kwamba unashidwa kujibu maswali na unaingilia maisha ya mtu binafsi kumsema
2026-11-19 16:22:30
1
mazzykassim
Mazzy Kassim :
WSLM MAALIM, WAFUNDISHE WAKUELEWE VIZURI 👏🏽👏🏽👏🏽🤝🤝🙏
2026-11-19 15:07:54
1
user2919257659852
user2919257659852 :
sheikh mungu akulinde.. watu wakitaka mabaya hawakosi njia wewe unawasomesha bure lakini mungu atakulipa .. endelea na darsa zako
2026-11-20 13:18:29
2
ankal734
Ankal :
Maashaallah. Jibu limenyooooooooooka kabisaaaaaaa
2026-11-20 13:25:31
2
maximilian4885
Maximilian :
bado unataja majini ya makabila sio dini
2026-11-20 16:12:27
1
allyshoni5
allyshoni5 :
Mwalimu Baba Haleema Allah akupe umri mlefu na Afya uzidi kufichua wasiyo yajua wenye akili mgando
2026-11-20 06:29:24
2
sudihammad
sudi hammad :
kama ni mchezaji umewapita mess na ronaldo
2026-11-20 16:15:53
1
sulenature166
bab sule :
yah
2026-11-20 16:32:39
1
chamaumma3
mamaummy :
Shekh ahsante
2026-11-20 09:54:01
1
yahaya.msangi079
Yahaya Msangi079 :
safi sana kakayangu
2026-11-20 00:03:37
1
calvinforget
Calvin4get❤️ :
tupe tofauti ya mapepo na majini
2026-11-19 12:21:30
1
hafidh.khatibu
Hafidh Khatibu :
waaleykum Salaam warahmatullah wabarakat
2026-11-19 17:08:18
2
3m2751
3M :
Asante kaka
2026-11-19 23:31:16
1
jumaadadyhamad
[email protected] :
waalaikum salamu warahmatullahi wabarakatu.
2026-11-20 11:27:29
1
khilafah001
Khilafah :
2026-11-19 17:14:45
1
user4633313265534
user4633313265534 :
SAA NGOMA ni Waislamu?
2026-11-19 23:54:42
1
kuch_dady
Kuch Dady :
Allah akuongoze kakaangu...unajitahidi sana kwa uwezo wa Allah kuwabainisha wanafik wanaojinasibisha na uislam
2026-11-19 11:51:19
4
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About