mbona GSM hasemi chochite yeye kuhusu uwekezaj wake au yye hatoi hela?
Au na sisi yanga tunapigwa🤣🤣🤣
2026-11-20 02:12:03
1
Abrah cadabra :
kwa kuwa sisi tunaitwa mazuzu fc bas haina shida we tupige tu
2026-11-19 18:44:32
4
babujii :
billion 19.6 uliyo zidisha million 400 sio billion 4
2026-11-19 22:13:18
0
Mr. jerusalem :
yeye anaingiza kiasi gani kupitia simba mbona hasemi
2026-11-19 17:52:24
3
Jabu.. :
Tupe maesabi ndani ya miaka mine simba imeingiza shilingi ngapi mbona utuambii tajili
2026-11-19 15:17:07
3
kingmakota :
Anahesabu anazitoa tu zinazoingia mbona hasemi sasa
2026-11-19 14:39:11
1
JAFARI BABAYU :
matatizo ya simba ndoyanapo anzia ila mpaka uwe najicho la tatu ndoutagundua
2026-11-20 03:21:24
0
mil :
Inakaguliwa na Nani?
2026-11-20 01:27:33
0
Jesca :
kwasababu ameamua kuita waandishi wa habari atupe hesabu yote nasisi tuichambue alaf atuambie nayeye matangazo yake anatulipa Kwa utaratibu upi na kiasi gani, kwanza Simba haijauzwa na kama iliuzwa aliinunua Kwa nani
2026-11-19 20:01:11
0
Mishy :
Mohamed Dewji, tunakuelewa. Una mapenzi na SIMBA SPORTS CLUB. Ndo maana tunakupenda, tunaomba uendelee kuwepo ndani ya SIMBA SPORTS CLUB. Bila wewe Kina Libasse na Mpanzu wangeshaondoka.. So please vumilia kelele za MANGUNGU na machura wenzake..We love you Mohamed Dewji.
2026-11-19 15:01:48
0
Kagame R.K :
timu imekaribia kuuzwa kwa ukoo😭😭
2026-11-19 15:26:17
1
Toteti M :
Best solution Mangungu atoke na Mo Dewji utoke. Wapi matajiri wanataka kuwekeza Simba na Wapi wanachama wanaweza kuwa Mwenyekiti
2026-11-19 15:29:49
0
Toteti M :
Mo unafanya biashara na Simba acha kuhesabu zinazotoka
2026-11-19 15:24:03
0
Lugano Saini :
yeye ndo kasababisha ziingie bila yy mliingiza shingapi
2026-11-19 14:54:49
0
Chidi mo :
mbn mnateseka 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 20:03:38
0
ally ally :
Watani tafuteni mwekezaji huyu muimbaji taarabu mtaaribu team
2026-11-19 21:13:40
0
Mwema Eliudi :
uwanja tu umeshindikana.tupeni mapato na matumizi
2026-11-19 19:50:43
0
kassim muya :
Huyu jamaa ndokaifanya simba iheshimike kimataifa wanaomubeza ni maskini wamali na akili na pia ndo alifanya ligi yetu iwe na hadhi kwa wachezaji wandani waanza kulipwa misharaha mikumbwa na ndo mtu kwanza kuanzisha kulipa wacheza ligi ya tanzania watu hawafaham wanaleta ushabiki tu wanazodanganywa vijiweni fuatilieni mambo kwa utulivu kama kweli mtakakupata usahihi wamtu that’s it
2026-11-19 21:35:38
0
Mwema Eliudi :
wewe unaingiza ngapi kupitia Simba?na club Haina mapato?
2026-11-19 19:49:01
0
king mlanzi :
umekusanya sh ngap?
2026-11-19 19:51:24
0
dottomilembe32 :
tuachie.timuyetuu.kamainakupa.asala
2026-11-19 19:57:02
0
innocent alex :
zinazo ingia tumuulize mangungu
2026-11-19 15:02:15
0
mohammed :
hana anachofaidika na uwekezaji wake
2026-11-20 02:46:32
0
rozibrilli :
wew unachuma sh.ngapi kutoka kwa simba?
2026-11-20 03:26:57
0
Tety.bulova :
😁😁😁
2026-11-19 11:43:51
0
To see more videos from user @dip.bulova, please go to the Tikwm
homepage.