@mwangomile_: oya skiliza kwa umakini 😂@last_born #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

last_born
last_born
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 12:13:56 GMT
10249
2191
123
20

Music

Download

Comments

ga2xo_7
⚡️Ga2xo_7⚡️ :
fact bro 💯
2026-11-19 14:05:42
2
itz_jazziee
jazzie :
Kweli kabisa last born kwa heshima🫡🫡
2026-11-19 12:28:38
9
kid_icon009
iconkidking :
Kwaheshimaa[Fire][Fire][Tears of joy]
2026-11-19 12:18:21
1
rextybady
RextyBad🤭 :
oya weeeee
2026-11-19 12:22:19
0
lizz.angely
lizzbeth💖 :
tunajua hii feeling 😭 Unajihisi namba mbili kwenye kila kitu, hata kwa familia yako. Lakini siku moja utajifunza kukaa peke yako ndio amani kubwa kuliko zote na sio kila mtu anayekaa karibu yako ni rafiki yako.
2026-11-19 13:13:52
6
ramadhanexample15
Mr. example :
Daah mm maisha yangu yote sinaga rafiki nn washikaji tukikutana kwenye football basi tukitoka pale imeisha iyo💯
2026-11-19 14:28:47
5
huncho_the.nairob
Huncho-_-The nairobian Dzaddy :
oya weeee
2026-11-19 12:25:14
1
.code21
21 :
bro hii imenigusa kwanzia inaanza huyu ni mimi kabisa😭
2026-11-19 12:48:32
1
user5800407325175
sammm :
kwaeshim family
2026-11-20 05:19:20
0
littlebob000
B ben :
sema we bg unaongea fact sana had unakeraa kaka🫡🫡🫡🫡🥺
2026-11-19 13:01:39
7
user3622428170835
dorah🎀🎀 :
ni kwel kaka mwanzoni nilikuwa nikifoc kuwa na ndg Zang pamoja ila wap walinitenga ikawangumu kukubali kuwa pekeyang ila kwasasa naishi kivyang na enjoy kuwa pekeyanga😃😃
2026-11-19 14:23:26
3
machokiddy360
🤟🏿💯💯macho kiddy OG 🤟🏿💯 :
🤟🏿 last 🤟🏿 born 🤟🏿 wagwani 🤟🏿 mapip 🤟🏿 aghaaaaa 🤟🏿🤟🏿🤟🏿🤟🏿🤟🏿🤟🏿🤟🏿🚳
2026-11-19 12:28:54
1
bangala3879
H.Bangala 🥤 :
oya wee 👑🙌
2026-11-19 13:35:30
1
clifoldcrifo
kalinga 1 :
yanga hoyeeeeeeeee2eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nakubali kaka ☺️☺️☺️
2026-11-19 12:21:28
1
youriboe
Y_0_U_R_I_👑 :
kumbe mwanangu dancer 😂
2026-11-19 13:21:49
1
maajid.tz94
M2🌟 :
Furaha jipe mwenyewe maana Omezaliwa pekee yako,,Utakufa peke yako na kuzikwa utazikwa peke yako Maisha hayaeleweki aiseee 🥴🥴
2026-11-19 13:17:05
2
paulndudumizi8
Paul Mekaa :
Kabsaaa kakaa 👊🏿
2026-11-19 12:52:58
0
wizzysports07
Wizzy 25 Tips :
Kwa heshima 🤝🤝 Family
2026-11-19 13:42:21
0
samwelimichael6
Chimwe :
nakubali kaka
2026-11-19 12:55:26
1
emmanuel.kavvishe
Emmanuel Kavvishe :
🥹 inakuwa mbaya sana kama unayemuamini akikusalit. au ukawa na hofu naye
2026-11-19 14:03:44
0
hyperdutch
Dee :
Vp mbn stry ya genevive haijaendeleaa
2026-11-19 13:05:28
1
mama.ivanna
Adelina_25 :
Hii ni kwel kwenye hii Dunia ukiweza kuspend everytime alone ni raha sana ,ila ndo ngumu sana
2026-11-19 14:06:53
2
kr_muse44
𝓚𝓡 🦅 :
2026-11-19 12:41:47
0
josephwamipango0
JOSE WA MIPANGO 🎖️ :
Ogopa hii imewahi kunitokea bas
2026-11-19 13:29:27
0
yasco8080.plainbw
PLΛIN々AΛRON :
oya weee🫡
2026-11-19 12:19:05
1
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About