@uhuru185: #tanzaniatiktok #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #viral

UHURU🇹🇿🇩🇰🇺🇸
UHURU🇹🇿🇩🇰🇺🇸
Open In TikTok:
Region: DK
Thursday 19 November 2026 12:17:31 GMT
18525
1121
82
71

Music

Download

Comments

binamgogo21
Bina mgogo :
samia ataikimbia Tanzania
2026-11-19 13:21:39
15
farajameshackmkun
faraja :
Kwa hyo saiv kushughulika na maendeleo ya nchi hakuna kazi ni kupanga jinsi ya kuwapa kesi chadema tu na utekaji haya mamb yataisha lini ICC mbona kama mnachelewa kufany kazi yenu
2026-11-19 14:42:22
1
dogo.dogo32
dogodogo617 :
kwahiyo serikali ya Samia inashirikiana na wanaharakati maana taarifa zote munazo sasa kwanini musiungane tu!? munatuchanganya tu!
2026-11-19 12:43:48
1
thosale.saruni
Thosale Saruni :
kila chenye manzoni haikosi kua na mwisho
2026-11-19 13:34:45
3
bonyokwa2
bonyokwa2 :
Kila shauri watakalolifanya likashindwe kwa jina la Yesu
2026-11-19 14:05:07
1
deigratia0
deigratia0 :
yote hayo atakayofanya bila baraka za mungu hatafanikiwa kwa Jina la yesu mungu atawalinda tuu
2026-11-19 14:55:51
1
user4781124280673
selemani habibu :
2026-11-19 13:43:16
2
935869jks
lion japhet :
mungu yupo na ajawai kutosikiliza watu
2026-11-19 13:45:34
2
71mkalienu19
baba Brian :
a point of corection, Hamza Johari ni mwanasheria mkuu wa serikali. Jaji mkuu ni George Masaju.
2026-11-19 13:11:26
1
editha.kokuberwa
Editha Kokuberwa :
Taarifa tumeipata ila usingizi wa pono umetukalia sana Watanganyika. Tuombeane
2026-11-19 13:51:13
2
na22069
Na :
Asante dada
2026-11-19 13:17:03
2
edinamhando0
user35780877815680 :
mh mh mh
2026-11-19 15:11:12
1
anthony.ntui
ntui :
ccm mwisho wenu umefika
2026-11-19 14:53:37
1
marksmanblack
Marksman Black :
Spoku iyo
2026-11-19 13:16:32
1
saan_tz
saantz :
sasa ulikuweeeeepoo9
2026-11-19 13:15:27
1
cosmas.mbiro
cosmas mbiro :
Daaaah aloooo
2026-11-19 12:40:55
4
festo.matias.luva
Festo matias Luvanda :
najiuliza kunakiongozi aliwai kusema kwamba kunawatu wanashinda ccm kulala chadema sasa unajiuliza hapo nani anapata talifa nzuli hapo hayaanayo yaongea uwayanakuja kweli swali langu nanianatoa taalifa inje
2026-11-19 13:41:39
0
user8684810633733
M💕Light ♥️🌹 :
duuuuh tusiseme sana ndo tz lakn atatoka
2026-11-19 13:28:04
1
jacksonelias388
Jackson Elias :
Hamza johari ni Attoney general wa ccm
2026-11-19 13:06:21
1
yohanampenda690
yohana Mpenda690 :
hapo ata kuwa kaliziana na genge asali sio chadema wala wananchi
2026-11-19 12:42:34
1
ruud.van94
Santi :
Hamza Johari sio Jaji mkuu ni mwanasheria mkuu wa serikali
2026-11-19 12:24:13
1
imakulatajoseph5
bg≧◉◡◉≦ :
habhali zetu nzuli
2026-11-19 15:36:16
0
glorymwacha
user3838457461623 :
mwenye amekupa ni nan
2026-11-19 15:19:19
0
user2940538073936
azrah khan :
mmmmm naomba niwe mwanasheria wako mamaaa Anza kuwa makin 🙌🙌
2026-11-19 15:15:50
0
binamgogo21
Bina mgogo :
tunashukuru kwaumbea dada
2026-11-19 13:22:23
0
To see more videos from user @uhuru185, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About