Hilo la sita pia pressure tumeshapewa na kuongezewa mi ela kibao😂😂 shule za private hasa za msingi🙌🙌🙌
2026-11-19 13:19:00
10
𝑴𝒃𝒐𝒏𝒈𝒆 𝑱𝒓⚡ :
Huo ushauri ungewapa serikali nadhani ungewafaa zaidi kuliko hao private companies, Hao private wanafahamu wanachokifanya huko kwenye shule za UMMA ndo hawajui nini cha kufanya kazi kuleta sera zisizo na kichwa wala miguu
2026-11-19 15:40:09
1
Nzinje Enterprises :
Leo nimekuelewa kwa uzuri Sana hapo kwenye UPIMAJI!. Maana yake kwenye UPIMAJI ni hakuna KUFEL mpaka MTIHANI WA Taifa KIDATO CHA NNEI.😂😁
2026-11-19 15:00:33
3
md :
mwanafunzi akifeli huo upimaji je ataenda ngazi inayofuata au inakuwaje
2026-11-19 15:25:28
1
ONYX_Kitchenware_Dodoma :
hapo kwenye extra skills wamiliki wa shule wangejua ndio wazazi wengi tunatafita...iyo shule ya secondary iwe ya day na kuwe na school bus la door to door atapata hela nzuri sana maana watoto wanamaliza la sita wadogo sana
2026-11-19 20:19:54
2
pauledward3880 :
Nina mtoto ameferi darasa la saba natamani arudie ninaomba utaratibu nifanyeje
Mwalimu hakuna tofauti ya mtihani na upimaji,,,,Mtihani,test,quiz hizo ni njia za upimaji,,,, Kwahiyo upimaji wa Taifa na Mtihani wa Taifa hakuna kilichobadilika ni neno TU lilobadilika
2026-11-20 10:01:14
2
Qawther🌸 :
Washaur walm wa shule za serikali wa darasa la nne.! Hii december tunahitaj kukaa
2026-11-19 12:48:40
0
Nimtazamo tyuu🙄 :
Ahsante xana mwalimu
2026-11-23 10:02:53
0
Robinson peter Chilongani :
noted
2026-11-21 15:03:54
0
potabo lady :
kwani upimaji maanake ni nin na mtihan wa taifa ni nin?
2026-11-19 20:25:40
1
Ally Urembo :
tusipangiane
2026-11-19 15:29:01
1
pentanejr :
tupe matokeo ya shule yako
2026-11-19 21:21:48
1
handsome boy :
unaongea point ila kwenye L na R ndio tatizo, kwenye R usiweke L
2026-11-19 20:27:38
1
user7901613744448 :
mwalimu una akili sana hongera
2026-11-21 13:24:56
0
liny :
tutajie shule unayofundisha tutazame matokeo ya shule unayofundisha
2026-11-19 17:56:51
0
lyandala noah :
nimekuelewa sana
2026-11-19 19:17:15
0
mariamsaid949 :
hata mzazi kajua jambo hapo
2026-11-24 18:08:44
0
jcultureroema :
mic Iko jkaribu hapo
2026-11-21 19:23:55
0
Nicolas Riwa :
safi
2026-11-20 15:21:47
0
njanjagirl :
kaka uko sahihi Kuna baadhi ya waalimu hawasomi nyaraka zinazotolewa
2026-11-20 07:10:53
0
smart boy 06 :
wew ulitakiwa kua raisi wa walimu tz mzee
2026-11-21 16:18:39
0
To see more videos from user @mwl.magodajr, please go to the Tikwm
homepage.