Mimi juzi juzi tu nilituma genz wangu sukuma za kupanda Kangemi nikampatia 500 aniletee nipande guess what aliniletea sukuma za kupika na spinach za 400 aky tulicheka tulikuwa tunamwangalia tunacheka na akakuja na vitunguu na nyanya aty amebudget vizuri kabisa.
2026-11-20 11:47:01
11
J🫶o🦋y🌹 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]