@uwamudadsm:

Uwamudadsm
Uwamudadsm
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 13:08:34 GMT
12559
439
57
18

Music

Download

Comments

user36736258178275
Zouh🥰 :
wa mwanza mpo wap jamn tuungane
2026-11-19 19:05:11
2
denit.godson.grat
Denith Godson Gration :
wakola
2026-11-20 02:17:39
0
loveness.kankiza
Loveness Kankiza :
naomba muniunge mm ni WA kamachum mreba kama Kuna kiingilio nijulishe
2026-11-19 19:29:20
2
eliudaudax
eliud audax :
nahitaji kujiunga nami nipeni maelekezo
2026-11-19 18:55:52
1
elieth.mbotto
Elieth Mbotto :
nipo sinza kwetu mshamba maeneo ya nyakitaba niunge bas
2026-11-19 19:38:33
0
lilyfidel
Lily Baby 😘 :
naomba kujiunga
2026-11-19 18:45:13
0
majidomary35
MAJID. :
nawezaje kujiunga
2026-11-19 18:20:54
0
mzakiru.mrishidi3
mzakey✌️ :
wilaya muleba kata muleba kwa sasa mkoa dar es salaam wilaya kinondoni kata mwananyamara vp naweza kijiunga au kuna kiingilio
2026-11-19 18:49:25
1
valley8022
Evance vallence mr v2k3 :
nipo bunju b natokea muleba kamishango naomba maelekezo
2026-11-20 01:49:56
0
leo.maxi4
Leo Maxi :
Kumbe sharti mojawapo uwe unaishi Dar es Salaam. Haya Kwaherini maana wengine tunaishi mikoa mingine.
2026-11-20 07:08:44
0
kishanda_777
Kishanda Home Decor🇹🇿🇹🇿 :
wa Geita mko wapi
2026-11-19 19:29:28
1
mary.kagya
Mary Kagya :
Naomba maelekezo tafadhali
2026-11-19 19:17:16
1
beath_ajman25
Cute :
Wajina jmni
2026-11-19 19:46:00
1
immaraulian3
mtoto wa mama🦸‍♀️👨‍🍼🤱💞 :
naomba kujiunga jmn
2026-11-19 18:57:54
1
anitha.kengonzi
Anitha Kengonzi :
mie naitwa Anitha mke wake na idan azades kishanda moja hiyo
2026-11-19 20:08:01
1
thegodson260
The God son 🦸 :
mm Jina Abilius Mwijage Aporinary wilaya Muleba kata ngenge kijiji kishuro kwa sasa nipo nyakanaz wilayan biharamulo
2026-11-19 19:31:38
1
erickndibale
Erick Ndibale :
kishanda ihunga tuliyo
2026-11-19 21:45:40
0
fadhila_65
Fadhira💛💛💛 :
Kalibu sana
2026-11-19 14:12:42
0
user188192449981
trecious :
ME NAITWA ALINDA NIMEZALIWA MULEBA KASHARUNGA
2026-11-19 20:58:29
0
betha.deogratias
Betha Deogratias :
niung na mmi
2026-11-19 20:24:01
0
hamisi66571
Hamisi msulo 0656432114 :
sawa
2026-11-20 07:17:25
1
ketty2677
ketty💕 :
Mie mzaliwa wa mleba- Nshamba niko mkoa wa Geita
2026-11-20 06:54:00
0
ruthapqxvi6
Last Born :
wa misenyi mlioko dar tujuane tuund group
2026-11-20 05:55:56
0
goliati91
goliati :
Naitwa Linusi naishi bunju (a) natoka muleba tujuane
2026-11-20 07:03:17
0
frankallenjanken
Frank allen Janken :
naomba kujiunga
2026-11-19 18:22:34
0
To see more videos from user @uwamudadsm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About