@maguisratv: Tuambie Mstari Mmoja Unaokugusa Katika Wimbo Huu TMW 154 By Rev Gwakisa Mwaipopo #maguisratv #kkkt #tmw #gwakisamwaipopo

MAGUISRA TV
MAGUISRA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 13:09:27 GMT
73085
6628
207
361

Music

Download

Comments

marianawambura
Mariah Dw2022 :
nikishikwa na shidaa, nikichoka njiani.Yesu unaniambia uningojee❤️
2026-11-19 15:44:09
66
totojane07
totojane :
Kkkt rahaaaa sana jmn mwaaaaaaa[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-19 14:38:03
24
user3431270486157
skoi 16 :
hivi naweza pata mwimbieni bwana ya kwenye simu??
2026-11-26 13:05:51
1
ladymworialadymworia
Ladymworia Ladymwori :
Me ni catholic lakin naupenda huu wimbo
2026-11-19 15:25:08
26
rennysammy
rennysammy :
uu wimbo ukiimba kwa kutafakari utajikuta machozi yanakutoka "Ninapo jaribiwa Ninapo singiziwa Yesu unisaidie nisikuache "👐👐
2026-11-19 19:35:46
7
mwakahabala
Mwakahabala :
Yupo Usharika gani huyu Mwamba?
2026-11-19 17:53:48
3
user7050131287858
mimah nassry :
nikishikwa na shida,nikichoka njini.yesu unaniambia uningojee [Pray][Pray]
2026-11-20 03:09:14
9
jojod_2015
Jojo@12 :
nikishikwana shida!!! nikichoka njiani Hesu unaniambia uningojee🙏🙏🙏🙏
2026-11-20 01:37:50
7
kelvinkiligo42
Kelvin Kiligo :
wimbo unaitwaje huu?
2026-11-20 12:52:57
0
juliethsimon3
jolly ❤️❤️ :
kkkt for life [Pray][Pray][Pray]
2026-11-19 13:57:16
8
user54catly
catie01 :
Neno lako ee yesu linanipa uzima🙏
2026-11-19 17:32:50
3
esbaby69582080ern
esthercollection 🦋😍 :
Ninapochoka, ninaposingiziwa,ninaposhindwa, Yesu nisaidie nisikuache 😭😭🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-11-20 21:14:00
2
kadogojackson
Kadogo Jackson :
Nikishikwa na shida. Nikichoka njiani yesu unaniambiea uningojeee. Huwa nalia mnoooo 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
2026-11-20 08:43:00
4
user4105619636000
winnie :
Naupenda huu limbo na ninabarikiwa sana ijapo mimi ni mkatoliki
2026-11-21 15:07:30
2
alphonces.daughte
alphonce's daughter :
"Ninanapo jaribiwa ninapo singiziwa yesu unisaidie nisikuacheee" huwa unanigusa sana hapo
2026-11-21 13:30:01
2
mr.eze.tz.2
Mr. Eze Tz,🇹🇿 :
fungu la 3
2026-11-21 17:32:07
2
catherinengwema
catma_lady :
nikishikwa na shida nikichoka njiani Yesu unaniambia uningojee🙏🙏🙏
2026-11-20 18:21:24
2
jackleen1985
Leen Jack :
nikishikwa na shida,nikichoka njiani Yesu unaniambia uningojee
2026-11-20 16:00:30
2
larlierhr45
larlier45 :
ninapojaribiwa ninaposingiziwa yesu unisadie nisikuache neno lako eeh yesu linanipa uzima nikifika nitaimba umeniponya
2026-11-20 17:50:28
2
princess.rebecca38
princess Rebecca :
beti ya mwisho mstari wa misho unaosema "nikifika nitaimba umeniponya" maan unanipa faraja pamoja na yote lakini Bado nitafika tu
2026-11-19 19:25:42
3
harrisonharrisonr3
Harrison Harrison Rabiamen :
wimbo huuu naupenda
2026-11-21 15:58:15
1
almaider0
Alice :
"nina po jaribiwa ninaposingiziwa yesu nisaidie nisikuache"🥰🥰
2026-11-19 18:54:00
3
lupond
lupond :
Nikifika nitaimba umeniponya & aliepiga kinanda MUNGU akutunze sana mkkkt mwenzangu🙏🙏
2026-11-20 03:27:10
2
in_yourcontact04
In your Contact :
Wimbo huu na uimbwe Ila sii kwakumsinidikiza alie wako
2026-11-20 10:59:14
4
erick.mkunde
Erick Mkunde :
Mpiga Kinanda Mungu Aku bariki sana
2026-11-20 07:22:54
2
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About