shirki ni zambi kubwa kwasababu ukifanya shirki wewe umemkataa na kumpinga Mungu moja kwa moja
2026-11-19 17:06:12
7
. :
Hebu imagne Mungu anasema samehe 8x70 =490 Yeye alishindwa kuwasamehe adam na Eva kosa moja la kula tund. Mungu huyo anatuambia tusamehe wanao tukosea ila yeye maadui zake anaenda kuwachoma moto
2026-11-19 18:54:13
6
Tz skiller9 :
Mbona iyo wazi sana inaeleweka tu.. WALE WALOANZISHA IZO DINI WAMEFANYA SHIRKI KUWA ZAMBI KUBWA, ILI KULINDA DINI, YANI KUWAZUIA WAUMINI WASIHAMIE UPANDE MWINGINE ATA WANAPOKUWA WANAOMBA BILA KUPATA MATOKEO YEYOTE.
KWAMBA ATA PALE UTAPOOMBA NA KUABUDU SANA BILA KUPATA MAJIBU USIKATE TAMAA WALA KUSHAWISHIKA KWENDA PENGINE KWA KUOGOPA DHAMBI YA SHIRKI.
2026-11-19 17:22:23
1
Adriano Mngulwi :
alafu mashehe ndo waganga wenyewe
2026-11-19 18:28:19
2
malenga :
l like your thinking paspactive.
2026-11-20 06:33:48
0
VOMO TV :
dini zote ni utumwa wa fikra
2026-11-19 22:16:05
6
kayfrancoise :
[Big LOL]
2026-11-19 17:47:44
1
Mussa Sulleiy :
huo ndio ukweli dini tumeletewa
2026-11-19 16:33:43
4
Sir Joshua :
Kwahiyo kuvunja nani njia panda ni zambi kubwa kuliko?
2026-11-19 19:12:13
2
Herman Njiwa🇹🇿 :
Miller amina
2026-11-20 02:47:37
1
asiamuuh :
so kweli acha kupotosha watu yaani kufanya kinyume na maumbie nizambi kubwa sanna
2026-11-20 14:24:56
0
Milly💫💝 :
kweliii kuna kitu hakiko sawaaa😂😂😂
2026-11-20 08:04:04
0
iddi_amini :
watu wengi wanaogopa kuhoji maandiko lakn kuna mambo mengi ya maandiko hayaingii akilini
2026-11-19 18:55:05
1
Kevoo@master👣 :
😆😆😆 mzee mi sina latiba ya kucheka leo
2026-11-19 18:30:42
2
sadiq :
TUVULIE KOFIA YETU😂
2026-11-19 18:02:22
1
official khan jr :
hapo kuna mamb haya[Victory]
2026-11-19 13:31:54
0
NIKO JJ● :
first
2026-11-19 13:39:16
1
serechriss official :
kuna namna
2026-11-20 05:53:49
0
kiza Vamaro :
2026-11-19 19:49:25
0
Nurdin Seif :
wewe umesikia wap
2026-11-20 07:33:47
0
Fundi Omar :
kwakweli wasikufokee wakueleweshe kwa utulivu
2026-11-20 15:37:12
0
Sir mocher :
ohooo☺️🤣🤣
2026-11-19 19:56:57
0
tonnietouch82 :
Hata mimi pia nimekataa 😂…
2026-11-20 08:59:59
0
🇹🇿Cortex :
2026-11-20 13:57:08
0
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm
homepage.