@shiraziboy: #na hawa ndio wasanii ambao walikuwa kwenye chat lakini kwa sasa hii ndio hali yao@Khabane lame

Dj Fella 🇹🇿
Dj Fella 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 13:32:13 GMT
57172
1509
46
29

Music

Download

Comments

dikson.balige
dikson balige :
umemsahau ney wa mitego kakz
2026-11-20 16:56:30
2
jmtz997
Jmtz. Abdallah :
Jina la wimbo
2026-11-20 06:43:28
0
luhanya94
baq'donso094 :
@Djfella🇹🇿 Hivi msami yupo wapi?
2026-11-20 10:04:06
0
loukmansuleiman
loukmansuleiman :
iko cku tunapst madj waliofulia
2026-11-19 15:08:37
3
frank.mahenge11
PAPAA MKINGA :
ya kwako je?
2026-11-20 07:41:06
2
ninaah5
ninaah🤩 :
hawajafulia hawajapenda kuingia kwenye chama
2026-11-20 13:16:47
3
paolmelta
mand sipan :
hosen machoz yuko inche na maisha yake safi tu
2026-11-19 21:18:35
1
dj.shidu.waminanda
🎛️💻DJ5HIDU MINANDA OG 🇹🇿 :
s kide vp
2026-11-22 06:57:14
0
mdegelatravis
Blessed boy🙏🙏🥰 :
wamefulia katika tasnia ya mziki au kwenye finacial stability
2026-11-20 06:25:03
0
bravosure9
bravo sure 💧💧 :
na bravo sure iv yupo wap
2026-11-20 14:29:34
0
fauziamarwa280
Fauzia marwa :
ipo yote yatapita ila Yes hapiti
2026-11-20 10:58:50
0
cute.yce
💕cute yce💥 :
jina la wimbo
2026-11-20 13:01:17
2
najath452
❤💫 :
hapo kwa msaga sumu daaah!ndy nmelikumbuka leo hlo jina😅😅
2026-11-20 21:04:03
0
user1483330832946
African boy... :
MARIOO YUPO WAP APOO
2026-11-21 10:43:10
0
mwaisa2023
Mwaisa chipsi 🍟 Point 👉 :
kweli kabisa 😂
2026-11-20 17:25:07
0
am.ruth05
B~lwax gello🦋🦋 :
ila mac daah
2026-11-20 20:38:36
0
user1483330832946
African boy... :
Dah et amefulia
2026-11-21 10:42:46
0
07fibby
fibi :
mkifika kwa richi roho hua inaniuma 😌
2026-11-20 19:39:43
1
juma.shisia
Juma Shisia :
ati AMEFULIA maana yake nini...huku Kenya Kiswahili fumbo kaka....
2026-11-20 18:12:40
1
mary.mabala
Mary Mabala :
wanakuomba pesa ya kuendessha maisha yao
2026-11-19 15:06:03
3
mwanahamis.nsila
michy :
Mavoko ananiumaga
2026-11-19 19:38:33
2
processi.boniphac
Bad night .26 life :
We umefanikiwa??
2026-11-19 16:22:39
1
user3165010111347
lissah paul :
ukute hata hawaja fulia wana maisha yaoo tu uko
2026-11-19 15:03:45
1
dismassog
𝐃𝐢𝐬𝐦𝐚𝐬𝐬 𝐎𝐆 :
We unayajua maisha ya Ferooz au unatengeneza tu content
2026-11-20 19:38:08
0
lexizo20
lexizo20 :
rich mavoko imeongopa
2026-11-19 16:47:15
0
To see more videos from user @shiraziboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About